Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Za ndaaani hizo mkuu au siyo?Atatoboa? Si ndo ilikua inasemekana "majitu" ndio yeye 😁
"Unaambiwa" 😂😂😂Za ndaaani hizo mkuu au siyo?
Kukosa maono ndo Huku
Kwa umri wake wa 70s sijui amekosa washauri au nini.
Msomi mkubwa umefanya Kazi Western countries over 40 years umekuwa MP umekuwa waziri .
Kwanini wasikae Pembeni
GreedyNimeona aibu kwa niaba yake mkuu, waafrika ni walafi wa kila kitu.
Unapofanikiwa kimaisha .Pesa ni tamu sana, utaitafuta na haitakutosha kamwe.
Pesa itakutia aibu na utaibika na kamwe hutojali.
Umetisha sanaNimeona aibu kwa niaba yake mkuu, waafrika ni walafi wa kila kitu.
Hii kitu ya "majitu" ni exaggeration za kisiasa.Atatoboa? Si ndo ilikua inasemekana "majitu" ndio yeye 😁
Wacha wajumbe wamle hela.Huyu Hatoboi katuu, angepumzika tyuuh. Lol