GE2025 Balozi Mulamula achukua fomu ubunge viti maalum

GE2025 Balozi Mulamula achukua fomu ubunge viti maalum

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hatosheki tu...
Bora huyo kuliko huyu kihiyo, jizi na bingwa wa forgeries Abela Muyungi anayetamba eti katumwa na Rais. Ukoo wao tu umemtenga kwa sababu ya kuiba mali za kwao yy na mme wake. Yaani anatia aibu wanawake wote
 
Balozi Liberata Mulamula amechukua fomu rasmi leo tarehe 28/6/2024 katika Ofisi za UWT, Taifa, zilizopo jijini Dodoma, kuwania kiti cha ubunge Viti Maalum katika kundi la Vyuo Vikuu katika uchaguzi ujao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanadiplomasia wa Tanzania amewahi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Marekani pamoja na Mexico na pia kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.
View attachment 3386821
Chanzo: Kitenge
Huyu si ndo alipokea vichambo vya aina yake🤣
 
Wanasema bungeni hakulipi ila wenyewe hawataki kuachia ubunge bora wafie huko. Discuss (10 marks).
 
Back
Top Bottom