Unapofanikiwa kimaisha .
Mfano umefanya kazi Western countries over 40
Umekuwa diplomatic
Umekuwa waziri
Umekuwa Mbunge
Umekuwa Balozi.
Una age 70s je unahitaji nini tena hapa duniani zaidi ya kuwaachia wengine hizo nafasi
Akiongea vizuri na wajumbe anatoboa.Huyu Hatoboi katuu, angepumzika tyuuh. Lol
Sio anataka ubunge tu, anataka ubunge wa viti maalum!Yaani umri wake bado anataka uongozi, tena ubunge........dah
Kuhusu mganga nikutoe wasiwasi kabisa, nnae wa kueleweka na amenyooka kabisa, kesho nitachukua fomu ya ubunge....Ubunge wa viti maalum waachiwe wakina Evelyn Salt ambao hawawezi kupambania kwa waganga wala kutoa rushwa...
Niroge kidogo nione kama mganga wako anaweza...Kuhusu mganga nikutoe wasiwasi kabisa, nnae wa kueleweka na amenyooka kabisa, kesho nitachukua fomu ya ubunge....
Hadi hapa ushanipa code nimekuelewa, nichukue tu fomu kisha nitangulie kigorofani 😁Niroge kidogo nione kama mganga wako anaweza...
Wewe chukua fomu alafu usihangaike utaona tu umechaguliwa viti maalum...
206Hadi hapa ushanipa code nimekuelewa, nichukue tu fomu kisha nitangulie kigorofani 😁
Mpekuzi wa taifa jirani huyo awekwe pembeni , hawa ndio walio semwa na CDF Mkunda.Huyu namuona Jina likikatwa kabisa huyu. Kuheshimu Principle ya Ministerial responsibility tu ilimshinda, ndio ataenda kupigania wanawake?
Hot water, break fast, free WI-FI 😂😂😂
Na ubunge wa viti maalum juu baada ya 5yrs una NSSF million500 haina foleni hiyo...Hot water, break fast, free WI-FI 😂😂😂
Na watamla haswaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha wajumbe wamle hela.
Katu, hatoboii huyu. LolAkiongea vizuri na wajumbe anatoboa.
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.Balozi Liberata Mulamula amechukua fomu rasmi leo tarehe 28/6/2024 katika Ofisi za UWT, Taifa, zilizopo jijini Dodoma, kuwania kiti cha ubunge Viti Maalum katika kundi la Vyuo Vikuu katika uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwanadiplomasia wa Tanzania amewahi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Marekani pamoja na Mexico na pia kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.
View attachment 3386821
Chanzo: Kitenge