GE2025 Balozi Mulamula achukua fomu ubunge viti maalum

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unapofanikiwa kimaisha .

Mfano umefanya kazi Western countries over 40

Umekuwa diplomatic
Umekuwa waziri
Umekuwa Mbunge
Umekuwa Balozi.


Una age 70s je unahitaji nini tena hapa duniani zaidi ya kuwaachia wengine hizo nafasi
Fikiria mtu kama Dr. Kimei ubunge aliupigania wa nini? Mtu hata kuongea tu akaeleweka bungeni ni tatizo.​
 
Kuhusu mganga nikutoe wasiwasi kabisa, nnae wa kueleweka na amenyooka kabisa, kesho nitachukua fomu ya ubunge....
Niroge kidogo nione kama mganga wako anaweza...

Wewe chukua fomu alafu usihangaike utaona tu umechaguliwa viti maalum...
 
Niroge kidogo nione kama mganga wako anaweza...

Wewe chukua fomu alafu usihangaike utaona tu umechaguliwa viti maalum...
Hadi hapa ushanipa code nimekuelewa, nichukue tu fomu kisha nitangulie kigorofani 😁
 
Huyu namuona Jina likikatwa kabisa huyu. Kuheshimu Principle ya Ministerial responsibility tu ilimshinda, ndio ataenda kupigania wanawake?
Mpekuzi wa taifa jirani huyo awekwe pembeni , hawa ndio walio semwa na CDF Mkunda.
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Aliiba na kula hela kweny wizara ya mambo ya nje ni mlafi sana huyo mother though ana experience kubwa ya international affairs
 
Kuna Nini huko bungeni? Watu wapo tayari kufia huko?. Huyu mama alitakiwa astaafu kwa heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…