Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Utani na shida viko wapi ..Jombaa:?! CCM waongo tu..Nchimbi hawezi kusimamisha peke yake bila Upendo Peneza.Kwenye vitu serious utani weka pembeni kwenye msiba usilete utani wa ngumi utasababisha kutokee msiba mwingine Mzee we namna gani kuna shida gani hapo?