kulinda amani na utulivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 SP Jumbe: Wananchi tuzeni amani kuelekea uchaguzi mkuu, jukumu la kulinda usalama wa jamii ni la kila mmoja

    Mkuu wa Polisi Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha, Mrakibu wa Polisi SP Shaban Jumbe amewataka wananchi wa Wilaya ya Karatu kuendelea kutunza amani na utulivu huku akisisitiza kuwa jukumu la kulinda usalama wa jamii ni la kila mmoja. SP Jumbe ametoa rai hiyo leo Oktoba 24, 2025 wakati akiwatoa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Singida wahamasisha maafisa usafirishaji kulinda amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu

    Maafisa wa usafirishaji wa Stendi ya Zamani, Singida wametakiwa kuendelea kuwa mfano wa kuigwa katika kulinda amani na utulivu, hususan kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kuwa amani ni msingi wa maendeleo na si jukumu la vyombo vya dola pekee, bali la kila mwananchi Wito huo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Wananchi dumisheni amani wakati na baada ya uchaguzi

    Jeshi la Polisi limewahimiza wananchi wote wenye sifa na waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi kwa amani na utulivu, kisha kurejea majumbani mwao kuendelea na shughuli zao za kijamii na kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 22, 2025 na Maafisa wa Pllisi kutoka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Polisi Shinyanga: Kuna chokochoko nyingi sasa, Tutahakikisha tunalinda amani

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwataka wajitokeze kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaowataka Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga SACP...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shekhe Kivuma: Wanaochafua amani wana nauli kukimbia nchini

    Mkurugenzi wa Madrasa na daawa mkoa wa Dodoma Shekhe, Yahaya Kivuma, amesema siku zote wanaotumika kuchafua amani ya nchi ni wale wenye nauli ya kukimbilia nchi nyingine hivyo Watanzania hawapaswi kukubali kulishwa sumu mbaya ya kuchafua amani na utulivu uliopo nchini. Shekhe Kivuma, amesema...
  6. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Usiichukulie poa Tanzania katika medani za kivita, walioijaribu walifutika

    Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23. Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwigulu: Tufanye uchaguzi wa amani na utulivu

    Wakuu, Mwigulu amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Singida kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa Wanataka Kuharibu Amani Yetu,Tusikubali

    Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇 Ndugu zangu wananchi ili tuendelee kupata tunayoyapata haya miradi ya kila aina, vituo vya umeme na mambo mengine msiende kufanya makosa (kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Novemba 2024), kwanza dumisheni uhuru na utulivu katika wilaya...
  9. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kuleta mabadiliko mazuri. Endelea mbele kwa nguvu na Imani

    Asubuhi mpya ni nafasi mpya ya kuandika ukurasa mwingine wa maisha yako. Jipe moyo, ongeza bidii, na uamini uwezo wako. Hakuna kinachoweza kusimama mbele yako ikiwa una nia thabiti na moyo wa ujasiri. Kumbuka, kila changamoto ni fursa ya kukua na kila mafanikio ni matokeo ya juhudi zako. Leo...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi asimamishwa Ndanda, ampigia simu Waziri TAMISEMI, nae apokea maelekezo ujenzi wa kituo cha afya

    BALOZI NCHIMBI ASIMAMISHWA NDANDA, AMPIGIA SIMU WAZIRI TAMISEMI, NAE APOKEA MAELEKEZO UJENZI WA KITUO CHA AFYA ▶️ Asisitiza wananchi kuendelea kulinda amani, utulivu na mshikamano nchini ▶️ Atoa wito kwa Serikali kuhakikisha wakulima wanakuwa salama na wafugaji pia kwani wanategemeana Msafara...
Back
Top Bottom