Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwataka wajitokeze kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaowataka
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga SACP. Janeth Magomi, ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Madereva wa Bajaji, Bodaboda pamoja na magari madogo (HIACE), katika Soko Kuu la mjini Shinyanga
Aidha amesema Jeshi hilo lipo vizuri kulinda Amani siku ya Uchaguzi Mkuu, na kwamba wananchi wasiwe na wasiwasi, bali wajitokeze kwa wingi kupiga kura na kutumia haki yao ya msingi kuwachagua viongozi wanaowataka wawaongoze kwa kipindi cha miaka mitano ijayo