Shekhe Kivuma: Wanaochafua amani wana nauli kukimbia nchini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkurugenzi wa Madrasa na daawa mkoa wa Dodoma Shekhe, Yahaya Kivuma, amesema siku zote wanaotumika kuchafua amani ya nchi ni wale wenye nauli ya kukimbilia nchi nyingine hivyo Watanzania hawapaswi kukubali kulishwa sumu mbaya ya kuchafua amani na utulivu uliopo nchini.

Shekhe Kivuma, amesema hayo leo Juni 7, wakati akitoa hotuba kwenye ibada ya swala ya Eid El-Adha iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

"Ndugu zangu waislamu asitokee mtu ambaye akawalisha sumu mbaya ya kutaka kuchafua amani na utulivu tulionao hivi sasa kwani siku zote wanaochafua amani wanayo nauli ya kukimbia nchini mimi na wewe hatuna kwa kumbilia hivyo tuilinde kwa nguvu zetu zote amani tuliyo nayo hivi sasa" amesema Sheekh Kivuma

Capture.PNG
 
mwambie No reforms, No electioms
 
..Shekhe kasema ukweli.

..CCM ndio wenye nauli za kukimbia nchi mambo yakiharibika.

..kila mwezi CCM wanapokea ruzuku 3.2 BILLION toka kwa msajili wa vyama
 
Mkurugenzi wa Madrasa na daawa mkoa wa Dodoma Shekhe, Yahaya Kivuma, amesema siku zote wanaotumika kuchafua amani ya nchi ni wale wenye nauli ya kukimbilia nchi nyingine hivyo Watanzania hawapaswi kukubali kulishwa sumu mbaya ya kuchafua amani na utulivu uliopo nchini.

Shekhe Kivuma, amesema hayo leo Juni 7, wakati akitoa hotuba kwenye ibada ya swala ya Eid El-Adha iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

"Ndugu zangu waislamu asitokee mtu ambaye akawalisha sumu mbaya ya kutaka kuchafua amani na utulivu tulionao hivi sasa kwani siku zote wanaochafua amani wanayo nauli ya kukimbia nchini mimi na wewe hatuna kwa kumbilia hivyo tuilinde kwa nguvu zetu zote amani tuliyo nayo hivi sasa" amesema Sheekh Kivuma

Matako yake
 
downloadfile.jpg
 
watanzia wakubali kutekwa kubakwa na kuuliwa? hii dini ya hawa jamaa ni kama mandezi fulani hivi, hamupelekani shule? nyie kazi ni kurithishana majini tu na kuombea watu viharusi
 
Back
Top Bottom