Shekhe Kivuma: Wanaochafua amani wana nauli kukimbia nchini

Tutakinukisha...?
Tutazuia uchaguzi....?
Tutavuruga uchaguzi....?
Hayo ni maneno ya kisiasa wewe unaamini kuwa CHADEMA kinaingiza virusi vya Ebola pamoja na M.pox lama alivyosema Amos Makala?!

Mbona Makala haambiwi na Mashehe kuwa anachafua nchi?
 
Hawa viongozi wa dini ndo wale mzee JK juzi katoka kusema waache kutumiwa na wanasiasa
 
Wakirsto wa Chadema watakuja kumshambulia.
Wakristo wasiokuwa wa CHADEMA hawawezi kumshambulia Sheikh; Waislam wa CCM hawaruhusiwi kumshambulia sheikh?
WaTanzania bila ya utambulisho wa imani zao, hawawezi kumshambulia sheikh?

Kwa nini umewachagua wakristo wa CHADEMA pekee?
 
Chadema ndio chama kilichojitanabaisha kama chama cha wakirsto
 
"Chama kilichojitanabisha kama chama cha wakristo".
Kimejitanabisha hivyo wapi. Katiba yao ndivyo inavyo sema hivyo? Wewe umekwenda kuomba ujiunge nacho ukakataliwa kwa vile wewe siyo mkristo?

Baadhi ya watu wa aina yako ndio mnaoleta sintofahamu ndani ya nchi hii kwa kutaka watu tubaguane kwa makundi makundi. Wewe ni mbaguzi wa kidini; na kwa bahati mbaya ubaguzi wako huo sasa hivi unakupa upendeleo katika chama ulichomo; huku huna sifa stahiki za kuwa katika nafasi uliyopo.
Hili ndilo limekuwa tatizo lanchi hii chini ya CCM.
 
Mkurugenzi wa Madrasa na daawa mkoa wa Dodoma Shekhe, Yahaya Kivuma, amesema siku zote wanaotumika kuchafua amani ya nchi ni wale wenye nauli ya kukimbilia nchi nyingine hivyo Watanzania hawapaswi kukubali kulishwa sumu mbaya ya kuchafua amani na utulivu uliopo nchini.

Shekhe Kivuma, amesema hayo leo Juni 7, wakati akitoa hotuba kwenye ibada ya swala ya Eid El-Adha iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

"Ndugu zangu waislamu asitokee mtu ambaye akawalisha sumu mbaya ya kutaka kuchafua amani na utulivu tulionao hivi sasa kwani siku zote wanaochafua amani wanayo nauli ya kukimbia nchini mimi na wewe hatuna kwa kumbilia hivyo tuilinde kwa nguvu zetu zote amani tuliyo nayo hivi sasa" amesema Sheekh Kivuma

Uko sahihi .Tutafakari
 
Maskini Sheikh ubwabwa, hawa ndio wanao waangusha waislam
 
Back
Top Bottom