Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Jeshi la Polisi limewahimiza wananchi wote wenye sifa na waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi kwa amani na utulivu, kisha kurejea majumbani mwao kuendelea na shughuli zao za kijamii na kiuchumi.
Kauli hiyo imetolewa Oktoba 22, 2025 na Maafisa wa Pllisi kutoka Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba, Mrakibu wa Polisi (SP) Mussa Khamis Abdullwa na SP Outa Gromic Abock, kupitia mahojiano maalum katika kituo cha ZBC TV Mkanjuni, Chake Chake, Pemba.
Wamesema Jeshi la Polisi limejipanga kikamilifu kuhakikisha hali ya usalama inabaki kuwa ya utulivu na kuwataka wananchi waendelee kuwa watulivu na kuwa na imani na vyombo vyao vya ulinzi na usalama.