Idimulwa JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,944 Reaction score 2,459 Jul 29, 2024 #21 Lethergo said: Kwenye vitu serious utani weka pembeni kwenye msiba usilete utani wa ngumi utasababisha kutokee msiba mwingine Mzee we namna gani kuna shida gani hapo? Click to expand... Utani na shida viko wapi ..Jombaa:?! CCM waongo tu..Nchimbi hawezi kusimamisha peke yake bila Upendo Peneza.
Lethergo said: Kwenye vitu serious utani weka pembeni kwenye msiba usilete utani wa ngumi utasababisha kutokee msiba mwingine Mzee we namna gani kuna shida gani hapo? Click to expand... Utani na shida viko wapi ..Jombaa:?! CCM waongo tu..Nchimbi hawezi kusimamisha peke yake bila Upendo Peneza.
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Jul 29, 2024 #22 Said Stuard Shily said: Makonda alipofanya haya alipigwa nyundo kila mahali,kumbe walitaka wao ndo wafanye daaaaah Click to expand... Makonda anakubalshia nini? Huyo zero brain bashite aliigia huo upuudhi kutoka kwa mjinga polepole. Serikali haiwezi kuendeshwa kimaigizo namna hiyo
Said Stuard Shily said: Makonda alipofanya haya alipigwa nyundo kila mahali,kumbe walitaka wao ndo wafanye daaaaah Click to expand... Makonda anakubalshia nini? Huyo zero brain bashite aliigia huo upuudhi kutoka kwa mjinga polepole. Serikali haiwezi kuendeshwa kimaigizo namna hiyo