PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
198
Reaction score
361
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali.

Nimesikia watu wengi kwenye makundi mbalimbali ya Whats App wakimtaja mtu anayeitwa Habibu Mchange namba ya Simu 0762 178678 kuwa ndiye mwenye kandarasi hiyo ya kutafuta watu na kuwaandalia mazungumzo na Wanahabari na kuwalipa wazungumzaji na wanahabari ili kueneza propaganda chafu ambazo kwa sehemu zimelenga pia kukuchonganisha wewe na Rais wako pamoja na Maaskofu wa Kanisa Katoliki.

Ombi langu kwako Mheshimiwa Makamu wa Rais Nchimbi kupitia mifumo mbalimbali ya kiuchunguzi ifuatilie namba hiyo ya Simu ya Ndugu Mchange na ufuatilia mwenendo wake na watu anaowasiliana nao kupanga na kuratibu matukio ya kuvuruga amani na mshikamano nchini hasa kutaka kuliingiza taifa katika vita ya kidini baina ya Wakristo na Waislamu ambao wameishi kwa kupendana na kuheshimiana na miaka mingi.

Kwanini naomba huyo mtu anayeitwa Mchange afuatiliwe mawasiliano yake ili ikibainika yeye na washirika wake kwa sababu hata kama wana nafasi kubwa kiasi gani hawako juu ya sheria wachunguzwe vyanzo vyao vya fedha wanazotumia kuendelea kampeni hiyo ambayo wamesema wataendesha maandamano nchi nzima ya kupinga Kanisa Katoliki.

Huyo mtu anayeitwa Mchange mbali na kuratibu amekuwa akisimamia hata mikutano hiyo na akuwepo hapo hapo ila anajificha haonekani kwenye Kamera za waandishi na ndiye anayelipa wahusika wote iwe wazungumzaji au waandishi na ukumbi anaotumia kufanyia mkutano.

Kwenye mazungumzo hayo Mchange anatajwa kama mtu wa karibu wa baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini ambao yumkini wako nyuma yake kufanikisha ajenda zao walizopanga za kutaka kuivuruga Dini ya Kikristo na kutaka kuifanya Tanzania iwe Islamic State.

Ndugu Makamu wa Rais kwa heshimu kubwa naomba ujipe muda na kufuatilia suala hili kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa letu kwani huku mitaani matamko haya yanapandikiza chuki kubwa sana.
 
Huyu Habibu Mchange alikua CHADEMA akaondoka na Zitto kwenda ACT Wazalendo badae akakimbilia CCM..Ni malaya wa kisiasa kwa sasa yupo kama CYPRIAN MUSIBA ENZ ZA MAGUFULI
 
Kwamba mbwa mkubwa ale mbwa mtoto wake

Hawa wahuni wanatumwa na Samia

Nchimbi afanye Nini zaidi?

Akiongea ataambiwa Kama alivyoambiwa ndungai

Acha wavurugane uzuri Tanzania aina dini hakuna mtu timamu atavurugwa na dini uchwara za Warabu ukoko na wazungu (Freemasons).

Wapumbavu pekee ndio watawaza huu ujinga Ila mtu yeyote aliyeenda shule awe Islamic au Christian ataona wote wanaopingana na TEC Ni wapumbavu

TEC sio dini taasisi ya usitawi wa wakatoriki Sasa ukiwau wakatoriki wao watamuhudumia Nani Mbwa au? Why wasiseme ?

Samia anatakiwa arudishwe darasani afundishwe maana ya dini!!

Ni mjinga Sana huyu mama

Maana watu tukitekwa na kuuawa wote Nani atasali uko makanisani na misikitini?
 
Eti kuifanya Tanzania kuwa "Islamic state". Aisee Kuna wakristo mna chuki Kali, dah! Zamani nilikuwa siamini hili.
 
PUNGUZENI UDINI. MBONA MNALETA TAHARUKI, TANZANIA HAITOWEZA TUMBUKIA KWENYE HAYO MASWALA. ILA WATU MNATAKA MUYAPE UPEPO YAVUME KILA YA LEO. LINI TUMEANZA KUBAGUANA ?
 
Itafute hotuba ya mwigulu ya Jana alipokuwa anawahutubia watu wa dar es Salaam aligusia suala la udini kutumika kuwagawa watanzania.
Mwigulu analijua vyema suala hili la udini na badala alishughulikie kwa mapana na kwa kina analiongelea kimasihara tu!
Langu ni Moja, nchi ikiwaka tutaungua wote bila kujali Imani zetu. Tukazane kuchochea moto wa udini.
 
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali.

Nimesikia watu wengi kwenye makundi mbalimbali ya Whats App wakimtaja mtu anayeitwa Habibu Mchange namba ya Simu 0762 178678 kuwa ndiye mwenye kandarasi hiyo ya kutafuta watu na kuwaandalia mazungumzo na Wanahabari na kuwalipa wazungumzaji na wanahabari ili kueneza propaganda chafu ambazo kwa sehemu zimelenga pia kukuchonganisha wewe na Rais wako pamoja na Maaskofu wa Kanisa Katoliki.

Ombi langu kwako Mheshimiwa Makamu wa Rais Nchimbi kupitia mifumo mbalimbali ya kiuchunguzi ifuatilie namba hiyo ya Simu ya Ndugu Mchange na ufuatilia mwenendo wake na watu anaowasiliana nao kupanga na kuratibu matukio ya kuvuruga amani na mshikamano nchini hasa kutaka kuliingiza taifa katika vita ya kidini baina ya Wakristo na Waislamu ambao wameishi kwa kupendana na kuheshimiana na miaka mingi.

Kwanini naomba huyo mtu anayeitwa Mchange afuatiliwe mawasiliano yake ili ikibainika yeye na washirika wake kwa sababu hata kama wana nafasi kubwa kiasi gani hawako juu ya sheria wachunguzwe vyanzo vyao vya fedha wanazotumia kuendelea kampeni hiyo ambayo wamesema wataendesha maandamano nchi nzima ya kupinga Kanisa Katoliki.

Huyo mtu anayeitwa Mchange mbali na kuratibu amekuwa akisimamia hata mikutano hiyo na akuwepo hapo hapo ila anajificha haonekani kwenye Kamera za waandishi na ndiye anayelipa wahusika wote iwe wazungumzaji au waandishi na ukumbi anaotumia kufanyia mkutano.

Kwenye mazungumzo hayo Mchange anatajwa kama mtu wa karibu wa baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini ambao yumkini wako nyuma yake kufanikisha ajenda zao walizopanga za kutaka kuivuruga Dini ya Kikristo na kutaka kuifanya Tanzania iwe Islamic State.

Ndugu Makamu wa Rais kwa heshimu kubwa naomba ujipe muda na kufuatilia suala hili kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa letu kwani huku mitaani matamko haya yanapandikiza chuki kubwa sana.
WAISLAMU NI LAANA KWA TAIFA LETU NDIYO WANAO KWAMISHA TAIFA.
 
IMG_0829.jpeg
 
Hao ni malofa waliopewa kibarua cha kuwatoa watu kwenye reli. Handlers wao wanataka, badala ya watu kuendelea kujadili mauaji ya halaiki yaliofanywa na vyombo vya dola, bora wajadili kauli za viongozi wa dini.

Huu uzi wako ndio aina ya mijadala ambayo wanaitaka. If you can’t resist this temptation, utakuwa umeingia mkenge.

Hoja ya msingi: Watanzania wanataka wakabidhiwe (na Serikali) miili ya wapendwa wao waliouawa kikatili na vyombo vya dola ili wakaizike properly!
 
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali.

Nimesikia watu wengi kwenye makundi mbalimbali ya Whats App wakimtaja mtu anayeitwa Habibu Mchange namba ya Simu 0762 178678 kuwa ndiye mwenye kandarasi hiyo ya kutafuta watu na kuwaandalia mazungumzo na Wanahabari na kuwalipa wazungumzaji na wanahabari ili kueneza propaganda chafu ambazo kwa sehemu zimelenga pia kukuchonganisha wewe na Rais wako pamoja na Maaskofu wa Kanisa Katoliki.

Ombi langu kwako Mheshimiwa Makamu wa Rais Nchimbi kupitia mifumo mbalimbali ya kiuchunguzi ifuatilie namba hiyo ya Simu ya Ndugu Mchange na ufuatilia mwenendo wake na watu anaowasiliana nao kupanga na kuratibu matukio ya kuvuruga amani na mshikamano nchini hasa kutaka kuliingiza taifa katika vita ya kidini baina ya Wakristo na Waislamu ambao wameishi kwa kupendana na kuheshimiana na miaka mingi.

Kwanini naomba huyo mtu anayeitwa Mchange afuatiliwe mawasiliano yake ili ikibainika yeye na washirika wake kwa sababu hata kama wana nafasi kubwa kiasi gani hawako juu ya sheria wachunguzwe vyanzo vyao vya fedha wanazotumia kuendelea kampeni hiyo ambayo wamesema wataendesha maandamano nchi nzima ya kupinga Kanisa Katoliki.

Huyo mtu anayeitwa Mchange mbali na kuratibu amekuwa akisimamia hata mikutano hiyo na akuwepo hapo hapo ila anajificha haonekani kwenye Kamera za waandishi na ndiye anayelipa wahusika wote iwe wazungumzaji au waandishi na ukumbi anaotumia kufanyia mkutano.

Kwenye mazungumzo hayo Mchange anatajwa kama mtu wa karibu wa baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini ambao yumkini wako nyuma yake kufanikisha ajenda zao walizopanga za kutaka kuivuruga Dini ya Kikristo na kutaka kuifanya Tanzania iwe Islamic State.

Ndugu Makamu wa Rais kwa heshimu kubwa naomba ujipe muda na kufuatilia suala hili kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa letu kwani huku mitaani matamko haya yanapandikiza chuki kubwa sana.
Siku za nyuma Mchange alikuwa mwanacdm, huyu alikuwa team Zito, na ni baadhi ya watu waliotumika kuichafua cdm kuonekana kuwa ni chama cha kikristo. Kwenye project yao alikuwa na Zito Kabwe, na walitumika sana na Mwigulu Nchemba kwenye siasa hizo hadi kutumika kutaka kuifanya cdm ionekane ni chama cha kigaidi.

Hii project ya udini anaifanya kwa sababu Samia anajua kuwa anaweza kufanya kazi hiyo, na boss wake kwenye michezo hiyo michafu ni Mwigulu. Hata gazeti la Mchange limekuwa likitumika sana kwenye propaganda ya kuwachafua wapinzani. Na sehemu kubwa Mchange ndio wamekuwa wakitumika kuratibu kundi la watu wasiojulikana kwa maagizo ya rais Samia.
 
Itafute hotuba ya mwigulu ya Jana alipokuwa anawahutubia watu wa dar es Salaam aligusia suala la udini kutumika kuwagawa watanzania.
Mwigulu analijua vyema suala hili la udini na badala alishughulikie kwa mapana na kwa kina analiongelea kimasihara tu!
Langu ni Moja, nchi ikiwaka tutaungua wote bila kujali Imani zetu. Tukazane kuchochea moto wa udini.
Mwigulu ndio boss wa Mchange toka Mchange akiwa cdm. Watu wengi hawajui historia ya Mchange hasa alipokuwa cdm, na jinsi walivyotumika na Mwigulu kutaka kuifanya cdm ionekane chama cha kigaidi.
 
Kwa yanayoendelea kwa sasakuna mbinu zinaendelea za kuitaka kuiguza nchi kuwa ya kiislamu
 
Haya ndo mambo mnayotaka watanzania wayafanye?
Nasema hivi, tulia 🫵🌈. Haya hayafanywi kama watanzania bali ni nyege zako tu, na kwa sasa wamejaa mitaani bila kuagizwa na yoyote.
 
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali.

Nimesikia watu wengi kwenye makundi mbalimbali ya Whats App wakimtaja mtu anayeitwa Habibu Mchange namba ya Simu 0762 178678 kuwa ndiye mwenye kandarasi hiyo ya kutafuta watu na kuwaandalia mazungumzo na Wanahabari na kuwalipa wazungumzaji na wanahabari ili kueneza propaganda chafu ambazo kwa sehemu zimelenga pia kukuchonganisha wewe na Rais wako pamoja na Maaskofu wa Kanisa Katoliki.

Ombi langu kwako Mheshimiwa Makamu wa Rais Nchimbi kupitia mifumo mbalimbali ya kiuchunguzi ifuatilie namba hiyo ya Simu ya Ndugu Mchange na ufuatilia mwenendo wake na watu anaowasiliana nao kupanga na kuratibu matukio ya kuvuruga amani na mshikamano nchini hasa kutaka kuliingiza taifa katika vita ya kidini baina ya Wakristo na Waislamu ambao wameishi kwa kupendana na kuheshimiana na miaka mingi.

Kwanini naomba huyo mtu anayeitwa Mchange afuatiliwe mawasiliano yake ili ikibainika yeye na washirika wake kwa sababu hata kama wana nafasi kubwa kiasi gani hawako juu ya sheria wachunguzwe vyanzo vyao vya fedha wanazotumia kuendelea kampeni hiyo ambayo wamesema wataendesha maandamano nchi nzima ya kupinga Kanisa Katoliki.

Huyo mtu anayeitwa Mchange mbali na kuratibu amekuwa akisimamia hata mikutano hiyo na akuwepo hapo hapo ila anajificha haonekani kwenye Kamera za waandishi na ndiye anayelipa wahusika wote iwe wazungumzaji au waandishi na ukumbi anaotumia kufanyia mkutano.

Kwenye mazungumzo hayo Mchange anatajwa kama mtu wa karibu wa baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini ambao yumkini wako nyuma yake kufanikisha ajenda zao walizopanga za kutaka kuivuruga Dini ya Kikristo na kutaka kuifanya Tanzania iwe Islamic State.

Ndugu Makamu wa Rais kwa heshimu kubwa naomba ujipe muda na kufuatilia suala hili kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa letu kwani huku mitaani matamko haya yanapandikiza chuki kubwa sana.
Kwanini prime minister na sio kwamba President ndio ungemshauri ivyo??? Jibu ni kwamba mna ajenda zenu.
 
Back
Top Bottom