PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mnamfundisha jasusi kuu nchimbi mambo ya intelijensia...!!😄😄😄, kuna watu mnawachukulia poa sana
 
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali.

Nimesikia watu wengi kwenye makundi mbalimbali ya Whats App wakimtaja mtu anayeitwa Habibu Mchange namba ya Simu 0762 178678 kuwa ndiye mwenye kandarasi hiyo ya kutafuta watu na kuwaandalia mazungumzo na Wanahabari na kuwalipa wazungumzaji na wanahabari ili kueneza propaganda chafu ambazo kwa sehemu zimelenga pia kukuchonganisha wewe na Rais wako pamoja na Maaskofu wa Kanisa Katoliki.

Ombi langu kwako Mheshimiwa Makamu wa Rais Nchimbi kupitia mifumo mbalimbali ya kiuchunguzi ifuatilie namba hiyo ya Simu ya Ndugu Mchange na ufuatilia mwenendo wake na watu anaowasiliana nao kupanga na kuratibu matukio ya kuvuruga amani na mshikamano nchini hasa kutaka kuliingiza taifa katika vita ya kidini baina ya Wakristo na Waislamu ambao wameishi kwa kupendana na kuheshimiana na miaka mingi.

Kwanini naomba huyo mtu anayeitwa Mchange afuatiliwe mawasiliano yake ili ikibainika yeye na washirika wake kwa sababu hata kama wana nafasi kubwa kiasi gani hawako juu ya sheria wachunguzwe vyanzo vyao vya fedha wanazotumia kuendelea kampeni hiyo ambayo wamesema wataendesha maandamano nchi nzima ya kupinga Kanisa Katoliki.

Huyo mtu anayeitwa Mchange mbali na kuratibu amekuwa akisimamia hata mikutano hiyo na akuwepo hapo hapo ila anajificha haonekani kwenye Kamera za waandishi na ndiye anayelipa wahusika wote iwe wazungumzaji au waandishi na ukumbi anaotumia kufanyia mkutano.

Kwenye mazungumzo hayo Mchange anatajwa kama mtu wa karibu wa baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini ambao yumkini wako nyuma yake kufanikisha ajenda zao walizopanga za kutaka kuivuruga Dini ya Kikristo na kutaka kuifanya Tanzania iwe Islamic State.

Ndugu Makamu wa Rais kwa heshimu kubwa naomba ujipe muda na kufuatilia suala hili kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa letu kwani huku mitaani matamko haya yanapandikiza chuki kubwa sana.
Acha udini wewe
 
Nchimbi hatoweza maana huyo Mchange anatumwa na Samuya & Kikwete
 
Nchi kuwa islamic state hili haliwezekani hata kidogo. Kama kuna wanasiasa wanafikiri kugeuza nchi kuwa ya kiislam watashindwa mapema sana. Iran yenyewe ni jamhuri ya kiislam tangu 1979 lakini leo hii wananchi wake hawataki mfumo huo wa kidini kutawala nchi. Nani anataka uislam, uislam ubaki misikitini kwa watu wenye IQ ndogo wanaoamini upuuzi na ujinga huo kama imani yao, hatutaki ushenzi wa siasa za kidini katika Tanzania
 
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali.

Nimesikia watu wengi kwenye makundi mbalimbali ya Whats App wakimtaja mtu anayeitwa Habibu Mchange namba ya Simu 0762 178678 kuwa ndiye mwenye kandarasi hiyo ya kutafuta watu na kuwaandalia mazungumzo na Wanahabari na kuwalipa wazungumzaji na wanahabari ili kueneza propaganda chafu ambazo kwa sehemu zimelenga pia kukuchonganisha wewe na Rais wako pamoja na Maaskofu wa Kanisa Katoliki.

Ombi langu kwako Mheshimiwa Makamu wa Rais Nchimbi kupitia mifumo mbalimbali ya kiuchunguzi ifuatilie namba hiyo ya Simu ya Ndugu Mchange na ufuatilia mwenendo wake na watu anaowasiliana nao kupanga na kuratibu matukio ya kuvuruga amani na mshikamano nchini hasa kutaka kuliingiza taifa katika vita ya kidini baina ya Wakristo na Waislamu ambao wameishi kwa kupendana na kuheshimiana na miaka mingi.

Kwanini naomba huyo mtu anayeitwa Mchange afuatiliwe mawasiliano yake ili ikibainika yeye na washirika wake kwa sababu hata kama wana nafasi kubwa kiasi gani hawako juu ya sheria wachunguzwe vyanzo vyao vya fedha wanazotumia kuendelea kampeni hiyo ambayo wamesema wataendesha maandamano nchi nzima ya kupinga Kanisa Katoliki.

Huyo mtu anayeitwa Mchange mbali na kuratibu amekuwa akisimamia hata mikutano hiyo na akuwepo hapo hapo ila anajificha haonekani kwenye Kamera za waandishi na ndiye anayelipa wahusika wote iwe wazungumzaji au waandishi na ukumbi anaotumia kufanyia mkutano.

Kwenye mazungumzo hayo Mchange anatajwa kama mtu wa karibu wa baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini ambao yumkini wako nyuma yake kufanikisha ajenda zao walizopanga za kutaka kuivuruga Dini ya Kikristo na kutaka kuifanya Tanzania iwe Islamic State.

Ndugu Makamu wa Rais kwa heshimu kubwa naomba ujipe muda na kufuatilia suala hili kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa letu kwani huku mitaani matamko haya yanapandikiza chuki kubwa sana.
Nchimbi ni muhimu akatoa tamko haya maandamano wahusika walishasema hayana kikomo na watazunguka nchi nzima kuvuruga amani
 
Hivi huyo kibaraka Mchange zile TUHUMA zake za kuuza Jimbo la Kibaha Mjini akiwa CDM kwa Koka, CCM uchaguzi wa wa 2010 ( kama sijakosea mwaka)alizikanushaga?..naanza kuamini kama zilikuwa zina UKWELI
 
Back
Top Bottom