PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mnamfundisha jasusi kuu nchimbi mambo ya intelijensia...!!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„, kuna watu mnawachukulia poa sana
 
Acha udini wewe
 
Nchimbi hatoweza maana huyo Mchange anatumwa na Samuya & Kikwete
 
Nchi kuwa islamic state hili haliwezekani hata kidogo. Kama kuna wanasiasa wanafikiri kugeuza nchi kuwa ya kiislam watashindwa mapema sana. Iran yenyewe ni jamhuri ya kiislam tangu 1979 lakini leo hii wananchi wake hawataki mfumo huo wa kidini kutawala nchi. Nani anataka uislam, uislam ubaki misikitini kwa watu wenye IQ ndogo wanaoamini upuuzi na ujinga huo kama imani yao, hatutaki ushenzi wa siasa za kidini katika Tanzania
 
Nchimbi ni muhimu akatoa tamko haya maandamano wahusika walishasema hayana kikomo na watazunguka nchi nzima kuvuruga amani
 
Hivi huyo kibaraka Mchange zile TUHUMA zake za kuuza Jimbo la Kibaha Mjini akiwa CDM kwa Koka, CCM uchaguzi wa wa 2010 ( kama sijakosea mwaka)alizikanushaga?..naanza kuamini kama zilikuwa zina UKWELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…