Balozi Paul Mella: Matukio ya Oktoba 29 yametoa somo kubwa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Balozi Paul Mella: Matukio ya Oktoba 29 yametoa somo kubwa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa vimejifunza pindi inapotaka kutokea matukio ya aina hiyo.

Amesema uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.

Aidha, amesema kwamba mbinu zilizotumika zilikuwa sio za kawaida, huku akieleza kuwa mipango mbalimbali ilikuwa ikipangwa kwa Teknolojia na nguvu ya Mtandao.
 
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeeleza kuwa uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.

Aidha amesema kwamba mbinu zilizotumika zilikuwa sio za kawaida, huku akieleza kuwa mipango mbalimbali ilikuwa ikipangwa kwa Teknolojia.
Mzee anazidi kujipaka kinyesi, pumbavu kabisa, yaani vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilizidiwa hadi watu wanafanya mipango kila pembe ya nchi hii wao wamelaza pumbu na vitambi vyao, huu uwongo Chande akawaongopee wajuu wake lakini sisi Watanganyika tunakataa kudanganywa.
 
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeeleza kuwa uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.

Aidha amesema kwamba mbinu zilizotumika zilikuwa sio za kawaida, huku akieleza kuwa mipango mbalimbali ilikuwa ikipangwa kwa Teknolojia.
Inabidi hao wakuu wa vyombo hivi ambao walizidiwa akili na maarifa na hao wapangaji wawajibike haraka kwa kujiuzulu.
 
Mugambo wanaruka nakukanyagana..... wote wamesimama wanaruka kinyam....🤣
Ebu mwenye hii nyimbo ya Juma Nature aiweke hapa kidogo itusindikize kwenye uzi.....
Ila kwa mwendo huu, kunasiku watu watakuja kugeukana
 
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa vimejifunza pindi inapotaka kutokea matukio ya aina hiyo.

Amesema uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.

Aidha, amesema kwamba mbinu zilizotumika zilikuwa sio za kawaida, huku akieleza kuwa mipango mbalimbali ilikuwa ikipangwa kwa Teknolojia na nguvu ya Mtandao.
Kwa akili kama zake, njaa, na tamaa za kutumikia kina Angela Kizigha, Lugumi na Rostam hakuna kitu watafanikiwa.

Huwezi kupambana na wananchi wako mwenyewe.

Lowest of the lowest.
 
Kadri siku zinasonga watajiweka uchi kila pahala...na ipo siku report kamili itawekwa hadharani na ni vema wakaomba wawe wamefariki maana watatamani wasiwe hai
 
Maridhiano na mtu ukiyemuumiza na hutak kukubali umemuumiza huo ni udicteta na ukafiri na uzandiki...hakuna maridhiano kati ya mwenye haki na mwovu...ni aidha wote muamue status moja
 
Maadam mmeshakiri hatuna majeshi...sasa ndo mnakaribisha vikundi vya kigaifi na nyir wazee waovu ndonmtakuwa wa kwanza kunyooshwa...nchi imejaa wazee wa hovyo wasioitakia nchi amani...na nyie msiipate hiyo amani
 
Cream yao inahishia ya kufungumana na chama hata kama wanafanya blanda
 
nilishuhudia Bodaboda anapigwa risasi na Polisi hapa Bugando HALL karibu na wauza majeneza alikuwa kijiweni na wenzake bila kosa alikufa palepale na tukamzika ameacha mke bado ni binti mdogo kabisa anafanya vibarua kwa mama lishe hapa Sahara alafu unaongea usenge hapa nadomolako WATU tunamachungu mnaleta usenge😢😢😢
 
Back
Top Bottom