Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mzee anazidi kujipaka kinyesi, pumbavu kabisa, yaani vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilizidiwa hadi watu wanafanya mipango kila pembe ya nchi hii wao wamelaza pumbu na vitambi vyao, huu uwongo Chande akawaongopee wajuu wake lakini sisi Watanganyika tunakataa kudanganywa.Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeeleza kuwa uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.
Aidha amesema kwamba mbinu zilizotumika zilikuwa sio za kawaida, huku akieleza kuwa mipango mbalimbali ilikuwa ikipangwa kwa Teknolojia.
Inabidi hao wakuu wa vyombo hivi ambao walizidiwa akili na maarifa na hao wapangaji wawajibike haraka kwa kujiuzulu.Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeeleza kuwa uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.
Aidha amesema kwamba mbinu zilizotumika zilikuwa sio za kawaida, huku akieleza kuwa mipango mbalimbali ilikuwa ikipangwa kwa Teknolojia.
Mbona hawasemi kama ilikua ni jaribio la mapinduzi?Yaliyozimwa yalikuwa machafuko (mapinduzi) yaliyojificha kwenye jina la maandamano, huwezi kuyazima machafuko kwa kutumia nguvu ndogo, utaishia kupinduliwa.
Wasikilize vizuri kwa maana ya katikati ya sentensi zao utaelewa wanaongea kidiplomasia zaidi.Mbona hawasemi kama ilikua ni jaribio la mapinduzi?
Kwa akili kama zake, njaa, na tamaa za kutumikia kina Angela Kizigha, Lugumi na Rostam hakuna kitu watafanikiwa.Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa vimejifunza pindi inapotaka kutokea matukio ya aina hiyo.
Amesema uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.
Aidha, amesema kwamba mbinu zilizotumika zilikuwa sio za kawaida, huku akieleza kuwa mipango mbalimbali ilikuwa ikipangwa kwa Teknolojia na nguvu ya Mtandao.
Aisee!Amesema uchunguzi wao umebaini kuwa mamlaka za vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa na taarifa likini vilizidiwa kasi.
Damu za watu zina waliliaNi mwendo tu wa kuweweseka hovyo