cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Alikuwa Muungwana hujakosea kabisa!Uso unasoma uungwana wake pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Muungwana hujakosea kabisa!Uso unasoma uungwana wake pia
Naumga mkono
Nmemkumbuka smbdy rutihindaNaumga mkono
Kwa Muda wote tokea tupate uhuru had majuz tu ndio katibu mkuu kiongozi kawa muislamu Tena baada ya kifo cha kijaziNimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake.
View attachment 2358641=======
View attachment 2358668
Balozi Paul Rupia (Kulia) akitunukiwa Nishani na Rais Kikwete(Mstaafu)
Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 86.
Taarifa ya kifo chake imetolewa leo Septemba 16 kwa Mwananchi na mtu wa karibu na familia hiyo, Mzee wa Atikali ambaye naye alipewa taarifa hiyo na mtoto wa marehemu, Peter.
Mbali na wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Rupia amekuwa ofisa katika Wizara ya Mambo ya Nje kuanzia mwaka 1963 na baadaye alikuwa balozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali ikiwamo Uingereza na baadaye balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa.
Pia, aliwahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Dar es Salaam.
Balozi Rupia aliyezaliwa Januari 7, 1936 katika hospitali ya Nkolandoto mkoani Shinyanga ni mtoto wa mpigania uhuru, mfanyabiashara na mwanasiasa, John Rupia.
Kwa nyakati tofauti, (Baba yake) John Rupia amekuwa mwaasisi wa chama cha TAA (Tanganyika African Association), TANU, (Tanganyika African National Union) na AA (African Association (AA) na alishiriki katika baraza maarufu la wazee wa TANU wakati huo akiwa pamoja na kina Mzee Mwinyikambi, Tambaza, Mshume, Chamwenyewe, Haidar Mwinyimvua na Rajab Diwani.
Na walipotoka TAA na kuanzisha TANU, John Rupia alipewa nafasi ya kuwa Makamu Mwenyekiti chini ya uongozi wa Julius Nyerere, akiwa na kadi namba 7.
Baba yake balozi Rupia (John Rupia) anatajwa kuwa ndiye aliyekuwa mfadhili namba moja kwa kukiendesha na kukikuza chama cha TANU kwa kujitolea kulipa mishahara na posho.
Pia, kwa sehemu kubwa aligharamia safari ya Mwalimu Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa kuelezea dunia kwamba Watanganyika walikuwa tayari kujitawala.
Baba yake balozi Rupia ndiye alimnunulia suti za kuvaa safarini na kumpa fedha za kujikimu Mwalimu Nyerere katika safari yake nchini Marekani.
Balozi Rupia ameacha mjane Rose Rupia na watoto Peter, Suzan, Pauline na Simon.
Makatibu wakuu kiongozi waliopita
Dunstan A. Omary 1962- 1964
Joseph A. Namata 1964-1967
Dickson A. Nkembo 1967-1974
Timothy Apiyo 1974-1986
Paul M. Rupia 1986-1995
Martene Y.C Lumbanga 1995-2006
Philimon L. Luhanjo 2006-2011
Ombeni Sefue 2012-2016 [3]
John William Kijazi 2016-2021
Bashiru Ally 2021-2021
Hussein Athuman Kattanga 2021
Chanzo: Mwananchi
HV uso wa dr mwigulu unaweza kudiscribe madam ? samahani lknUso unasoma uungwana wake pia
Kulikon mkuu. Am 34 na Bado Niko hai. Baloz 84 katangulia
May his soul rest in peace, Amen [emoji1488]Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake.
View attachment 2358641=======
View attachment 2358668
Balozi Paul Rupia (Kulia) akitunukiwa Nishani na Rais Kikwete(Mstaafu)
Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 86.
Taarifa ya kifo chake imetolewa leo Septemba 16 kwa Mwananchi na mtu wa karibu na familia hiyo, Mzee wa Atikali ambaye naye alipewa taarifa hiyo na mtoto wa marehemu, Peter.
Mbali na wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Rupia amekuwa ofisa katika Wizara ya Mambo ya Nje kuanzia mwaka 1963 na baadaye alikuwa balozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali ikiwamo Uingereza na baadaye balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa.
Pia, aliwahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Dar es Salaam.
Balozi Rupia aliyezaliwa Januari 7, 1936 katika hospitali ya Nkolandoto mkoani Shinyanga ni mtoto wa mpigania uhuru, mfanyabiashara na mwanasiasa, John Rupia.
Kwa nyakati tofauti, (Baba yake) John Rupia amekuwa mwaasisi wa chama cha TAA (Tanganyika African Association), TANU, (Tanganyika African National Union) na AA (African Association (AA) na alishiriki katika baraza maarufu la wazee wa TANU wakati huo akiwa pamoja na kina Mzee Mwinyikambi, Tambaza, Mshume, Chamwenyewe, Haidar Mwinyimvua na Rajab Diwani.
Na walipotoka TAA na kuanzisha TANU, John Rupia alipewa nafasi ya kuwa Makamu Mwenyekiti chini ya uongozi wa Julius Nyerere, akiwa na kadi namba 7.
Baba yake balozi Rupia (John Rupia) anatajwa kuwa ndiye aliyekuwa mfadhili namba moja kwa kukiendesha na kukikuza chama cha TANU kwa kujitolea kulipa mishahara na posho.
Pia, kwa sehemu kubwa aligharamia safari ya Mwalimu Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa kuelezea dunia kwamba Watanganyika walikuwa tayari kujitawala.
Baba yake balozi Rupia ndiye alimnunulia suti za kuvaa safarini na kumpa fedha za kujikimu Mwalimu Nyerere katika safari yake nchini Marekani.
Balozi Rupia ameacha mjane Rose Rupia na watoto Peter, Suzan, Pauline na Simon.
Makatibu wakuu kiongozi waliopita
Dunstan A. Omary 1962- 1964
Joseph A. Namata 1964-1967
Dickson A. Nkembo 1967-1974
Timothy Apiyo 1974-1986
Paul M. Rupia 1986-1995
Martene Y.C Lumbanga 1995-2006
Philimon L. Luhanjo 2006-2011
Ombeni Sefue 2012-2016 [3]
John William Kijazi 2016-2021
Bashiru Ally 2021-2021
Hussein Athuman Kattanga 2021
Chanzo: Mwananchi
Ni kweli lakini walikuwepo wafadhili wengine wakubwa zaidi !!Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake.
View attachment 2358641=======
View attachment 2358668
Balozi Paul Rupia (Kulia) akitunukiwa Nishani na Rais Kikwete(Mstaafu)
Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 86.
Taarifa ya kifo chake imetolewa leo Septemba 16 kwa Mwananchi na mtu wa karibu na familia hiyo, Mzee wa Atikali ambaye naye alipewa taarifa hiyo na mtoto wa marehemu, Peter.
Mbali na wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Rupia amekuwa ofisa katika Wizara ya Mambo ya Nje kuanzia mwaka 1963 na baadaye alikuwa balozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali ikiwamo Uingereza na baadaye balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa.
Pia, aliwahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Dar es Salaam.
Balozi Rupia aliyezaliwa Januari 7, 1936 katika hospitali ya Nkolandoto mkoani Shinyanga ni mtoto wa mpigania uhuru, mfanyabiashara na mwanasiasa, John Rupia.
Kwa nyakati tofauti, (Baba yake) John Rupia amekuwa mwaasisi wa chama cha TAA (Tanganyika African Association), TANU, (Tanganyika African National Union) na AA (African Association (AA) na alishiriki katika baraza maarufu la wazee wa TANU wakati huo akiwa pamoja na kina Mzee Mwinyikambi, Tambaza, Mshume, Chamwenyewe, Haidar Mwinyimvua na Rajab Diwani.
Na walipotoka TAA na kuanzisha TANU, John Rupia alipewa nafasi ya kuwa Makamu Mwenyekiti chini ya uongozi wa Julius Nyerere, akiwa na kadi namba 7.
Baba yake balozi Rupia (John Rupia) anatajwa kuwa ndiye aliyekuwa mfadhili namba moja kwa kukiendesha na kukikuza chama cha TANU kwa kujitolea kulipa mishahara na posho.
Pia, kwa sehemu kubwa aligharamia safari ya Mwalimu Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa kuelezea dunia kwamba Watanganyika walikuwa tayari kujitawala.
Baba yake balozi Rupia ndiye alimnunulia suti za kuvaa safarini na kumpa fedha za kujikimu Mwalimu Nyerere katika safari yake nchini Marekani.
Balozi Rupia ameacha mjane Rose Rupia na watoto Peter, Suzan, Pauline na Simon.
Makatibu wakuu kiongozi waliopita
Dunstan A. Omary 1962- 1964
Joseph A. Namata 1964-1967
Dickson A. Nkembo 1967-1974
Timothy Apiyo 1974-1986
Paul M. Rupia 1986-1995
Martene Y.C Lumbanga 1995-2006
Philimon L. Luhanjo 2006-2011
Ombeni Sefue 2012-2016 [3]
John William Kijazi 2016-2021
Bashiru Ally 2021-2021
Hussein Athuman Kattanga 2021
Chanzo: Mwananchi
HV uso wa dr mwigulu unaweza kudiscribe madam ? samahani lkn
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
RIP Balozi Paul Rupia.Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake.
View attachment 2358641=======
View attachment 2358668
Balozi Paul Rupia (Kulia) akitunukiwa Nishani na Rais Kikwete(Mstaafu)
Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 86.
Wasukuma ni watu makini sana tangu zamani .RIP Balozi Paul Rupia.
Yale maghorofa yote matatu pale Uhuru round about ni ya baba yao.
P
Umesema kweli !! Wapo watu wakarimu sana na wapole lakini sura zao zimejikunja kwenye paji la uso kutokana na maisha ya dhiki anayoishi na kwa sababu ya kufikiri sana!! You cannot tell the content of the book by just looking at its cover!!You can not tell the contents of a book by looking at its cover! All in all, Rupia is a renowned person and a respected one!
Kweli !!RIP Balozi Paul Rupia.
Yale maghorofa yote matatu pale Uhuru round about ni ya baba yao.
P
Kweli Mzee Mohamed Said anajua mambo mengi sana kuhusu hao jamaa !!Naumga mkono