TANZIA Balozi Paul Milyango Rupia amefariki dunia nchini Afrika Kusini

TANZIA Balozi Paul Milyango Rupia amefariki dunia nchini Afrika Kusini

RIP Mh.Rupia, na pole mno kwa familia yake,kwetu umeacha mafundisho mema ILA working class yetu ijifunze hapa kuwa ni wakati wa kujenga nchi yetu kwa akili na kuwa smart, amefia SA!sio mwananyamala Hosp, Mara Hospital bali netcare, med clinic ughaibuni
Umesahau kuwa hata baba wa taifa alifia ughaibuni aliko kwenda kutibiwa, so ni kawaida kwa viongozi kufia nje ya nchi
 
R.I.P
Kamanda wa Diplomasia. Mtendaji.Mwanafamilia...pamoja na kutambua Uzalendo wake, alipotoka hakusahau.

Ni nembo wa Taifa, Familia na Kabila lake!!!

Amani iwafikie.
 
Kawaulize watu wa Ujinga alipokuwa mbunge wao aliwafanyaje.Aliwahi kutwambia kwamba wakati wanasoma Minaki walikuwa hawaruhusiwi kuvaa viatu.Kwakuwa kwao wao walikuwa matajiri,wao walikuwa wanaenda na viatu wakikaribia kufika shule wnavivua wanavificha kwenye vichaka.
Aliwahi kuwa mbunge? Je Kwa kuvua viatu kunamfanya asiwe muungwana?
 
Hivi kwanini Matajiri na wana siasa wanafia ughaibuni wkt na sie tuna mahospitali meengi hapo Bongo!! wajameni mnisaidie vinginevyo mie sitoki huku Australia!!...ndg zangu wooote nitawatibia huku sitaniii nawaambia!

kwa nini kuugulia siyo hapo Bongo??....utaalamu/ vifaaa km ni tatizo kwa nini msinunue?? nyie si ndo viongozi??? Jiwe alijifanya kuugulia hapo kafa!! huenda na yeye angeenda SA angepona!!

kwa hiyo Hospital zetu hapo Bongo ni machinjio ya walala hoi!! na kweli Temeke Hospital Chafuuuuu!! Mganga mkuu ni mtoto wa Marehemu Malima Mwana siasa mkongwe!!! ambaye naye alifia Ughaibuni hukooo!!

watoto wao wanakuja chukua Nafasi za juu tu! hapo kwenye wizara ya Afya na Hospital kuu za Bongo lkn hao hao! Baba zao, wanauguzwa na kufia Hospitali za nje ya nchi!..kwa nini?....kweli??

TMK/,Mwananyamala/Amna Hospital nk! watoto wa wakubwa wanapokezana kijiti Mtoto wa Mahita, mara Mtoto wa Malima, Mara Kawawa, Lowasa na hawa hawaguswi kamwe!

wanaongezea kusoma nje na kurudi watakavyo tena bila ruhusa!! nani amguse??

sasa weye mtoto wa kajamba nani nenda kasome ndani au nje ya nchi uone moto!!!.....Mafao yako yanavurugwa hovyo!! wanajifanya hawajui/hawakuoni, eti unajifanya mjanja utasoteshwa weee!! mpaka ukome!

na hela ya kula na familia yako huna! si imefungiwa?? utaipata wapi

zimeisha ajili ya kushughulikia shule Pa kwenda, wa kukusaidia wa kukutetea hakuna! familia inakuhitaji ui-supply mahitaji yaani wanakuona km kinyesi tu vile!....pwiii!!!.... sina hamu na hawa watu!..

Bora Mkoloni ana huruma na utu! tena sana ya mnooo! kuliko haya matoto ya wapigania nchi.....Mashirika ya mkoloni Km UNHCR, AAR, Medicne sonsour Frontier!NK! maweee! raha tupu wanajali sana!

lkn hawa wanuka vikwapa hawa!!! pwiii nisiseme sana mkaniona mnoko bureee! ...ndo maana hata hao vigogo hawatibiwi huko Nyumbani wanajua makosa yao! Jiwe kajifanya kujali yuko wapi leo?

Make wao wanajua upendeleo ulioko huko! sasa ukutane Na DR/Nurse aliye pitia huo Muziki wa kuzungushwa hivo, atakuwa na raha na weye kweli?? Muuguzi/Dr wa hivi kukuondoa ni dakika sifuri tu!

Unakufa polepole unajiona hivi! na tunakusahau! hapo south mnako kimbilia siyo Mbali, hao hao mnao wanyanyasa, kuwanyanyapaa hawarudiga!! wanaenda kuwasubiri huko!

si mnawanyanyasa hapo, kwa kuwa mna Madaraka! Sasa mtawakuta huko! mtarudishwa kwenye Masanduku tu!,..endeleeni wamesha wajua janja yenuu! sasa mnakimbia nini wkt watoto wenu ndo viongozi??

hata weee!! hao wa afya hawkimbiwi! kirahisi kuweni wapole tu! na kada ya afya, sijui IT, wamejaaa hukoooo ! hee! lazima mkae tu myazungumze manake Mganga hakimbiwi na wana umoja!!

JKM na tezi dume yake kakimbia huyoo hukooo! tena kafanyiwa na Mzungu alijua hatari inyo mngoja! ...japo huyo alikuwa Rais mtu Rafiki kwa kada ya afya!
 
Huu Msiba wa Tajiri kama huyu Sisi Watu wa Uswahilini hatutakiwi kabisa Kuukosa kwani huko Msibani ni Vyuku tu, Soda na Maji ya Hill Water, ila Ukivimbiwa utatafuta kwa kwenda Kushusha Migogo yako.
 
Huu Msiba wa Tajiri kama huyu Sisi Watu wa Uswahilini hatutakiwi kabisa Kuukosa kwani huko Msibani ni Vyuku tu, Soda na Maji ya Hill Water, ila Ukivimbiwa utatafuta kwa kwenda Kushusha Migogo yako.
Umenikumbusha msiba wa p.bomani
Masela toka kawe na mikocheni,walipiga mpunga na mtungi wa maana

Ova
 
Back
Top Bottom