Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

Polepole hawezi kufungua mdomo tena, anajua sababu iliyompelekea Malawi,na kama kweli haogopi njaa aanze kile kipindi chake online, lakini Polepole yule wa Rasimu ya Warioba alivyokuja kubadilika baada ya kupewa ugali na CCM simuamini, zile hasira zake itakuwa zimeshapoa.
 
Wewe ndo itakuwa huwez kufungua macho na masikio Tena kwake! Maana kama kuongea bado anaongea na tunamsikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu kingine chochote.
Na hajiamini ndani ya chama ambacho yeye binafsi ndiye mwenyekiti wake.
Mkuu the voicer, nimeipenda analysis yako hapa kwasababu kwenye jf hii, watu wa kufanya uchambuzi wa kiwango hiki humu, wanahesabika, hiyo big up sana for this!.

Japo naheshimu maoni yako ila mambo mengine kama hili sii kweli!. Umetumia neno kali sana la uchu wa madaraka, Samia hana uchu wa madaraka, ila kwa vile ameupata urais by default, ya Tanzania kupata rais mwanamke by default, anataka 2025 tumpate rais mwanamke not by default anymore but by legacy ya kuchaguliwa ndio maana akasema 2025 tutasimamisha rais mwanamke na tutamchagua rais mwanamke!. Hili hata mimi naliunga mkono ila nilichosema ni huyo mgombea mwanamke wa 2025 sio lazima awe Samia!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na baadae nikaisikia hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo mpaka ninapoandika hapa, usikute haya nimeambiwa mimi tuu mwenyewe hajaambiwa hivyo anaendelea na mipango ya 2025 bila kujua, ila kabla ya 2025 mwenyewe ataambiwa...
Huku akihanikizwa na genge la walamba Asali walioko nyuma yake, ambao kwa sasa wananufaika kwa 100% na urais wa Samia na uenyekiti wa Samia katika CCM.
I just dont beliave this!.
Ninaposema hayo, ninamaanisha kuhusu mkakati unaoendelea sasa ndani ya CCM kwa kumsafishia njia Samia kuelekea 2025
Ndani ya CCM, kwa urais wa 2025, Samia hahitaji kusafishiwa njia na yeyote kwasababu hii ni term yake ya kwanza, hivyo kwa utaratibu wa CCM, 2025 wanatoa fomu moja tuu ya urais kwa bara na moja kwa Zanzibar. Kama kuna mwana CCM mwingine yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa ni kichaa!.
Ilianza kwa kuwaondoa watu wa JPM, kina Bashiru, Polepole na wengineo.
Hawakuondolewa kwa ajili ya 2025 bali kwa sababu nyingine. Kwa vile huwa hatuhoji mtu anapoteuliwa, siku akitemwa pia tusihoji.
Polepole yeye akajaribu kufurukuta kwa kuunda Platform yake kupitia Programu yake ya Shule ya Uongozi kupitia Mitandao na Luninga, ikaonekana kama anaendelea kujikusanyia umaarufu.
Kusema la ukweli this was something good and very healthy. Sii wengi humu wanamjua vizuri Polepole, Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
na huyu Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? na huu Unyerere wa Polepole mimi niliunote toka 2014 akiwa BMK! Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right",
Bashiru yeye ameendelea kuwa kimya kwa muda wote, na ninadhani ni kwa sababu, wako wanaompenda ndani ya system ambao wanampa muongozo ili aendelee kuwa salama.
Dr. Bashiru ni mjamaa halisi, kosa lake ni mhafidina, JPM alimkubali sana na akaamua "baada ya mimi ni wewe", ndio maana baada ya kutokea lile jambo, Bashiru akataka wishes za marehemu ziwe implemented!, wakamficha kabisa VP na PM, wakaamua kumpangia VC safari ya Tanga ili kumzuga!, ndipo yule Msukuma CDF akasema lazima katiba ifuatwe, ndipo mama akaarifiwa akiwa huko Tanga na ndio tukatangaziwa, but the game was over long before, and take it from me, Mungu asingeingilia kati, Bashiru ndio angekuwa the next na na kiukweli he is worse than JPM!, angeirudisha nchi hii kwenye Ujamaa kamili hili nimelichambua for BBC, DW na VOA Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Haikuishia hapo. Kundi la pili ni Lukuvi na Kabudi, walichomolewa na kurudishwa Ikulu kusoma magazeti.
Hii ikiwa mbinu nyingine ya kuwaondoa kwenye utendaji ambao unaweza kuwajengea umaarufu kuelekea 2025.
Sii kweli!, she just feels uneasy with watu waliomzidi sana umri. Mkuchika ameachwa kwasababu fulani naomba nisiitaje humu ila wale waelewa wanaielewa hiyo sababu!.
Na pale walipo wako chini ya uangalizi maalumu,bila wao kulijua hilo. Ndio maana tunaona hata inafikia sasa Kabudi kupewa Muongozo wa kuja kusema mambo yasiyoeleweka kuhusu Makinikia.
La uangalizi maalum yes kila mtu yuko kwenye uangalizi hata mimi na wewe!, thats what those people are paid for!. Ila hilo la Kabudi kutumwa, its not!.
Haijaishia hapo.... Samia bado hajaridhika, kwa kujua kwamba yeye bado hana mtandao ndani ya CCM kwa huku Bara, ameendeleza wimbi la pangua pangua huku akijaribu kujenga mtandao wake.
Its true Samia hana mtandao ila hahitaji mtandao wowote for 2025.
Tatizo ni kwamba anatumia njia ambayo sio sahihi....
kwa mfano sasa hivi kwenye uchaguzi ndani ya CCM, ameruhusu watendaji wa serikali walioko madarakani, kama wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri ... wamechukua fomu na kugombea katika nafasi mbalimbali ndani ya chama.
Na baadhi yao wamefanikiwa.Mfano halisi ni Jerry Murro ambaye ni mkuu wa wilaya ya Ikungi-Singida.amegombea na kushinda.huku akiwa pia mkuu wa wilaya hiyohiyo aliyogombea.
Hakuna tatizo lolote kwa kiongozi yoyote wa seikali kugombea nafasi yoyote ya uongozi. Ukigombea nafasi yoyote executive, unachukua likizo bila malipo, akichaguliwa anawasilisha barua ya kujiuzulu. Ujumbe wa chama chochote cha siasa ni non executive post. Hivyo yoyote anagombea bila kujiuzulu.
Wengi wa hawa,wamegombea huku wakiwa na maelekezo rasmi, ili kuupata ujumbe wa kamati kuu ya CCM.
Lengo likiwa ni Samia kutengeneza mazingira kama alivyowahi kufanya Edward Lowassa kipindi kilichopita.
I dont believe this!.
Ndio maana wale wakuu wa wilaya wastaafu wote waliojaribu kugombea wametupwa nje, kwa kuhofia kwamba huenda wasimuunge Samia mkono huko mbeleni.
I don't agree!
Na ndio maana kumeibuka na lindi kibwa la UVCCM-Samia ambao wanakurupuka na kujikuta wakiyoa kauli tata na zenye kutishia watu hivi sasa.mfano wa karibuni ukiwa wa Tulia Akson Zipka wa Bunge la JMT.
I just don't agree with you on this!.
Kuhusu Overshine!

Mfano hai wa karibuni, ni kutenguliwa kwa waziri Wa mambo ya nje Mama Liberata Muramura.

Kisa halisi hakijulikani wazi, lakini kutokana na kauli yake mwenyekiti wa CCM mama Samia Suluhu Hassan.

Ni kwamba alizidi nje ya mipaka yake kikazi(kwamba alivuka red line)
Tafsiri hii inatokana na yeye kutokuwa kwenye msafara wa Samia nchini Msumbiji, alikopaswa kuwepo kulingana na procol halisi.

Badala yake yeye akawa Marekani, ambako alikuwepo makamu wa Rais kwa wakati huo, akihudhuria mkutano mkuu wa UN. (Kule alipaswa kuwepo naibu waziri, samamba na makamu wa rais.).

Na kibaya zaidi. Mulamula akaibukia white house akialikwa kwa Dinner pamoja na rais wa nchi hiyo Joe Biden.

Na isitoshe Mulamula akapiga picha ya pamoja na Rais huyo wakiwa na mkewe.

Ikumbukwe pia Mulamula aliwahi kualikwa na familia ya Rais mstaafu wa nchi hiyo Barak Obama.

Na pia alipiga picha kama hiyo.

Sasa kwa jinsi Mama alivyo na hofu ya kuwa outshined....
Kilichoendelea ndio hiki tulichokiona juzi kwa yaliyompata Mulamula,huku likitolewa angalizo na kwa wengine kwamba wasijaribu kuvuka mipaka.
Respect for this japo sio lazima iwe ni hivyo Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
Hata upinzani hajaachwa Salama......

Tumeona kilichompata Joseph Mbatia mwenyekiti wa NCCR -MAGEUZI .

Ameadhibiwa kwa kile kilichoitwa na mfumo kama kumkosea mama adabu kwa kukataa kumuita Samia "mama" na badala yake akaendelea kumuita "dada".
I
My Take!

Kwa sababu ni wazi kabisa kwamba mama Samia na CCM kwa ujumla, wametokea kuififisha nyota ya maendeleo ya nchi, ambayo yalianza kuonekana wazi mbele ya watanzania.
Naomba tumpe muda Mama Samia, ataipaisha Tanzania Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa
Ni Wakati Sasa wa wana CCM wenye uthubutu kama Komredi wa ukweli.

Ndugu Humphrey Polepole,ambaye wengi ndani ya CCM wameona uthubutu wako.

Njoo usimamie unachokiamini,na hautakuwa peke yako.
Naunga mkono hoja ila siungi mkono Polepole arudi kumchallenge Samia ni kichaa tuu kama Lyatonga , EL na Membe who can challenge the status quo!, you can't survive!. Polepole mwache amalize udiplomat wake kwa amani, astaafu halafu ndio tulianzishe!.
Watu wameichoka CCM hii ya mateka, wanahitaji mbadala, lakini hawauoni kwa sasa!
Mungu atakuwa nawe Muda Wote.

With Many More Blessings Ahead of You.
Kwenye hili nakubaliana wewe, CCM kuchokwa haikuanza leo, angalia tarehe ya bandiko hili CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! hivyo tatizo la nchi hii sio CCM ni hatuna any serious opposition ya kuipumzisha CCM!.
Hili tumelisema sana humu Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! na Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?
Na hii Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali? na Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?! na Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance? na Elections 2015 - Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

P.
 
Sorry mkuu nje ya mada, hicho kichwa na aina hiyo ya nywele zamani nikiwa shule nilipenda sana kuwakong'ota makonzi halafu nakimbia...

Nilikua nikiona tu mtu mwenye kisogo cha hivyo na kipilipili basi moyo hunisisimka na kutamani kutia makwenzi tuuu afu huyooo nateleza...
Tuliosoma kwa shida tunajitambua mpaka leo!
 
Brother "P" Nadhani hujui ila ni kwamba huwa nafuatilia bandiko zako zote na zingine humu ndani.

Wewe binafsi ulijaribu kuingia mchakato huu unaomalizika sasa ndani ya CCM.
Ni wewe na nafsi yako pekee mnaoijua hali halisi ya kile mlichokushuhudia huko.
Mengine yamebaki kuwa historia.
 
Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025!
CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia!

Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu kingine chochote.
Na hajiamini ndani ya chama ambacho yeye binafsi ndiye mwenyekiti wake.

Huku akihanikizwa na genge la walamba Asali walioko nyuma yake, ambao kwa sasa wananufaika kwa 100% na urais wa Samia na uenyekiti wa Samia katika CCM.

Ninaposema hayo, ninamaanisha kuhusu mkakati unaoendelea sasa ndani ya CCM kwa kumsafishia njia Samia kuelekea 2025.

Ilianza kwa kuwaondoa watu wa JPM, kina Bashiru, Polepole na wengineo.

Polepole yeye akajaribu kufurukuta kwa kuunda Platform yake kupitia Programu yake ya Shule ya Uongozi kupitia Mitandao na Luninga, ikaonekana kama anaendelea kujikusanyia umaarufu.

Kilichofuatia ni kupelekwa nje ya nchi, Malawi, ambako ni balozi wa Tanzania mpaka sasa
(wale mliowahi kupitia uchimbaji dhahabu, mnafahamu maana ya kula "Malawi").

Bashiru yeye ameendelea kuwa kimya kwa muda wote, na ninadhani ni kwa sababu, wako wanaompenda ndani ya system ambao wanampa muongozo ili aendelee kuwa salama.

Haikuishia hapo. Kundi la pili ni Lukuvi na Kabudi, walichomolewa na kurudishwa Ikulu kusoma magazeti.
Hii ikiwa mbinu nyingine ya kuwaondoa kwenye utendaji ambao unaweza kuwajengea umaarufu kuelekea 2025.

Na pale walipo wako chini ya uangalizi maalumu,bila wao kulijua hilo. Ndio maana tunaona hata inafikia sasa Kabudi kupewa Muongozo wa kuja kusema mambo yasiyoeleweka kuhusu Makinikia.

Haijaishia hapo.... Samia bado hajaridhika, kwa kujua kwamba yeye bado hana mtandao ndani ya CCM kwa huku Bara, ameendeleza wimbi la pangua pangua huku akijaribu kujenga mtandao wake.

Tatizo ni kwamba anatumia njia ambayo sio sahihi....
kwa mfano sasa hivi kwenye uchaguzi ndani ya CCM, ameruhusu watendaji wa serikali walioko madarakani, kama wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri ... wamechukua fomu na kugombea katika nafasi mbalimbali ndani ya chama.
Na baadhi yao wamefanikiwa.Mfano halisi ni Jerry Murro ambaye ni mkuu wa wilaya ya Ikungi-Singida.amegombea na kushinda.huku akiwa pia mkuu wa wilaya hiyohiyo aliyogombea.
Wengi wa hawa,wamegombea huku wakiwa na maelekezo rasmi, ili kuupata ujumbe wa kamati kuu ya CCM.
Lengo likiwa ni Samia kutengeneza mazingira kama alivyowahi kufanya Edward Lowassa kipindi kilichopita.

Ndio maana wale wakuu wa wilaya wastaafu wote waliojaribu kugombea wametupwa nje, kwa kuhofia kwamba huenda wasimuunge Samia mkono huko mbeleni.

Na ndio maana kumeibuka na lindi kibwa la UVCCM-Samia ambao wanakurupuka na kujikuta wakiyoa kauli tata na zenye kutishia watu hivi sasa.mfano wa karibuni ukiwa wa Tulia Akson Zipka wa Bunge la JMT.

Kuhusu Overshine!

Mfano hai wa karibuni, ni kutenguliwa kwa waziri Wa mambo ya nje Mama Liberata Muramura.

Kisa halisi hakijulikani wazi, lakini kutokana na kauli yake mwenyekiti wa CCM mama Samia Suluhu Hassan.

Ni kwamba alizidi nje ya mipaka yake kikazi(kwamba alivuka red line)
Tafsiri hii inatokana na yeye kutokuwa kwenye msafara wa Samia nchini Msumbiji, alikopaswa kuwepo kulingana na procol halisi.

Badala yake yeye akawa Marekani, ambako alikuwepo makamu wa Rais kwa wakati huo, akihudhuria mkutano mkuu wa UN. (Kule alipaswa kuwepo naibu waziri, samamba na makamu wa rais.).

Na kibaya zaidi. Mulamula akaibukia white house akialikwa kwa Dinner pamoja na rais wa nchi hiyo Joe Biden.

Na isitoshe Mulamula akapiga picha ya pamoja na Rais huyo wakiwa na mkewe.

Ikumbukwe pia Mulamula aliwahi kualikwa na familia ya Rais mstaafu wa nchi hiyo Barak Obama.

Na pia alipiga picha kama hiyo.

Sasa kwa jinsi Mama alivyo na hofu ya kuwa outshined....
Kilichoendelea ndio hiki tulichokiona juzi kwa yaliyompata Mulamula,huku likitolewa angalizo na kwa wengine kwamba wasijaribu kuvuka mipaka.

Hata upinzani hajaachwa Salama......

Tumeona kilichompata Joseph Mbatia mwenyekiti wa NCCR -MAGEUZI .

Ameadhibiwa kwa kile kilichoitwa na mfumo kama kumkosea mama adabu kwa kukataa kumuita Samia "mama" na badala yake akaendelea kumuita "dada".

Ukizingatia kwamba amekuwa na uswahiba na CCM kwa muda mrefu, hadi kupelekea kuwahi kupewa ubunge wa viti maalumu huko nyuma, ikiwemo na ubunge wa EALA kwa dada yake Mbatia pia.

My Take!

Kwa sababu ni wazi kabisa kwamba mama Samia na CCM kwa ujumla, wametokea kuififisha nyota ya maendeleo ya nchi, ambayo yalianza kuonekana wazi mbele ya watanzania.

Wameturudisha nyuma miaka 10 iliyopita.

Wanaendelea kukopa mikopo inayotuzalishia TOZO.

Wanaelekea kuturudisha kwenye Richmond Empire!

Na kwa sababu Upinzani nao umekuwa sehemu ya walamba asali.

Leo hii Zitto Kabwe na genge msoga,wamerudi na kuwa kitu kimoja.

Chadema imekaa kama wanagawana fito badala ya kujenga chama chao.

Wengine wamebaki kufanya mikutano ya matusi huko Club houses,bila kuwa na hoja zenye mashiko na njia mbadala wa jinsi ya kulikwamua taifa hili lilipo.
Huku wakifundisha somo la historia ya mashambulizi dhidi yao.
Badala ya kutoa sera zenye ushawishi kwa mwananchi ili wajikite kujenga chama chao kuanzia mashinani.na hatimae kujizolea wafuasi zaidi.kuelekea 2025.

Wenye busara kama mwenyekiti Mbowe wamepatwa vigugumizi ghafla.

Ni Wakati Sasa wa wana CCM wenye uthubutu kama Komredi wa ukweli.

Ndugu Humphrey Polepole,ambaye wengi ndani ya CCM wameona uthubutu wako.

Njoo usimamie unachokiamini,na hautakuwa peke yako.

Watu wameichoka CCM hii ya mateka, wanahitaji mbadala, lakini hawauoni kwa sasa!
Mungu atakuwa nawe Muda Wote.

With Many More Blessings Ahead of You.
View attachment 2381174
View attachment 2381175View attachment 2381179
Kafie mbele na polepole wako,
 
Mwanzo akiwa hajaanza kuingia 18 za kikwete....alikuwa vizuri,lakini tangu alipokubali kuwa remote controled.....shida ikaanzia hapo.
Wai chato ukatambikwe,enzi zenu zimeisha mkuu, mkae kwa kutulia tu washamba nyie
 
Kwani kipindi cha JPM uchumi ulikuwa kwa % ngapi ulinganishe na vipindi vya marais wengine.

Kwani JPM hakuwa na uchu wa madaraka? Juzi haukumsikia akisema wazee walimzuia JPM kujiongezea miaka, je huyo alikuwa ni Samia?

Wabunge walioshinda kihalali kura za maoni walifwekwa na kuwekwa waliohitajika na JPM, je hamefanywa na Samia?

Vipi kuhusu wapinzani kufungwa kila kona ya nchi hata wengine kupigwa risasi? Je ameyafanya Samia?

Je sito huyu JPM aliyevuruga mifumo yote ya utawala wa sheria na kuivunja katiba na kuturudisha miaka 40 nyuma?

Mwisho kabisa wewe kwa sasa unatafuta Huruma kea upinzani ambao wewe mwenyewe ulishiriki kuwa sehemu ya kuukandamiza.

Ila kwa kuwa sasa umebanwa ndo unaona faida ya upinzani?

MUACHE ujinga uliopitiliza kiwango.

Na imethibitika rasmi kwamba Tanzania bila udikteta,mambo hayaendi sawa!.
Viva JPM.
Ushahidi ni Hiki kinachoendelea kwa sasa!
 
Kafie mbele na polepole wako,
Wewe ni wale Wahuni tunaowakataa ....ndio maana akili yako iko kwenye masega ya asali
IMG-20220913-WA0003.jpg
 
Wai chato ukatambikwe,enzi zenu zimeisha mkuu, mkae kwa kutulia tu washamba nyie
Ushamba tafsiri yake ni nini?

Wewe ni mshamba wa nini?

Na unakula vitu vya wapi kama sio kutoka shamba!

Cheti fake hajawahi na hatatokea kumsahau Magufuli.
 
Sasa mkuu wewe una vyeti originally na unapigwa na maisha kisawasawa, wenzio vyeti fake wanatusua life kwa connection , Sasa we kaa na mivyeti yako hiyo original Kama itakuletea good life,

Saka fursa mkuu, we jifanye mzalendo koko ufe masikin usipate hata Cha kuwachia wanao, jiwe lilijifanya mzalendo kumbe linawatajirisha nduguze na watu wa karibu, nyie mazuzu akawa anawacheza shere,

Chini ya Rais wa sasa wafanyabiashara wanapiga pesa, Mimi nna magunia yangu 360 ya mpunga hapa nipo kwenye New force naenda kuyapiga Bei nije kula bata batani , wakati Ni Sasa, Ngosha aliwabana Sana waangaikaji,

Samia kafungua Nchi
 
Na imethibitika rasmi kwamba Tanzania bila udikteta,mambo hayaendi sawa!.
Viva JPM.
Ushahidi ni Hiki kinachoendelea kwa sasa!

Hatumkubali mama Samia, lakini hakuna kundi hatari ndani ya nchi hii kama hilo la sukuma gang. Machafuko tu ndio yatatuondolea hili dubwasha liitwalo CCM pamoja na madhalimu wake ikiwemo Polepole, Kabudi, Lukuvi nk.

Huyo mama Samia unayemtishia na hicho kinyago kiitwacho Polepole, ufahamu kuwa walikichonga wenyewe, na anajua fika CCM iwe ya Msoga gang au sikuma gang, hakuna anayeweza kushinda uchaguzi wa halali bila mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Mbwa hawezi bweka na kipande Cha nyama mdomoni
 
Sasa mkuu wewe una vyeti originally na unapigwa na maisha kisawasawa, wenzio vyeti fake wanatusua life kwa connection , Sasa we kaa na mivyeti yako hiyo original Kama itakuletea good life,

Saka fursa mkuu, we jifanye mzalendo koko ufe masikin usipate hata Cha kuwachia wanao, jiwe lilijifanya mzalendo kumbe linawatajirisha nduguze na watu wa karibu, nyie mazuzu akawa anawacheza shere,

Chini ya Rais wa sasa wafanyabiashara wanapiga pesa, Mimi nna magunia yangu 360 ya mpunga hapa nipo kwenye New force naenda kuyapiga Bei nije kula bata batani , wakati Ni Sasa, Ngosha aliwabana Sana waangaikaji,

Samia kafungua Nchi
Ningekuwa napigika nisingepata muda wa kufuatilia na kuchambua mambo kwa jicho la pili.

Ninapopata uwezo wa litulia na kuchambua kwa kina ina maana ninakuwa stable minded.

Kwa wenye ufinyu wa mawazo kama wewe.
Kupata frdha kwa short cut wanaona ni ujanja.
Lakini ukweli huwa anaipanga yeye Mungu.

Kina Mengi walikuwa nazo za kutosha lakini sasa wako wapi?

Basil mramba alipiga nyingi lakini wapi saa hii.

Lowassa alipiga nyingi je! Anafurahia nini sasa hivi.

Pesa sio kila kitu.ndio maana maskini wenye upendo wa kweli,wanayo furaha ya kweli maishani,kuliko tajiri mwenye wasiwasi.

Hili neno "Bata" huwa nikiona mtu anayelitumia huwa namdharau kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Kufa au kubaki hai sio ujanja wa Binadamu bali ni mapenzi ya Mungu Muumba wa Mbingu na Ardhi.

Kama unabisha ....nenda hospitali katembee wagonjwa,ndio utajua unavyoishi kwa bahati.
 
Na kwa sababu Wenye vyeti fake kama wewe,ndio mmetufikisha hapa.
Lazima kiongozi yeyote mpenda maendeleo angeanza ku deal na nyinyi kwanza
Pole kwa yaliyokukuta.Ila nina imani siku moja na wewe utakufa na mtakutana na Magufuli(R.I.P).huko aliko ili mmalizane mbele ya Mungu mwenyezi.
Mataahira mnafanya nn huku JF??
 
Back
Top Bottom