Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea.
Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme zikaona hawa ngozi nyeusi isiyokuwa na uzungu tukiwapa airtime watatuondoa kwenye madaraka na watoto wetu.
Kabudi alitamka kwamba ametoka majalalani kwenye salary isiyozidi milioni tano kwa mwezi; na sasa wote hawa mapato yao kwa mwezi hayafiki milioni tano. Means kwa fedha hizi hakuna kuendesha shangingi binafsi wala kula mahoteli makubwa.
Mliotoka familia za chini msipoungana kila siku mtakuwa viongozi wasioongoza. Piganeni msafishe kizazi cha wanufaika wa mfumo ili mjitwalie nafasi za maamuzi nchi iweze kwenda mbele.