Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

Nyinyi pigeni story huku mtaani ila mwenzenu anaendelea kuijaza CV yake vizuri kwa safari ya huko mbeleni.

Waswahili tuendelee na utamaduni wetu kwa muuza kahawa.
Tanzania yetu ina watu wachache sana wa kufikili kama unavyo fikili wewe, wengi huruhusu chuki na wivu kutawala wakati wa kuchangia. Jamaa anajaza CV kibao watanzania wahuni wanamkejeli.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Yeye mwenyewe nasikia ana chuo chake cha diplomasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…