Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

Polepole yule mtu damu yake itawagharimu sana.

Najua kabla hajafa alimwambia kitu Mungu wake.

Kuna aina za vifo vya watu vikitokea huwa ni sadaka takatifu kwa Mungu.

Ingawa Mungu wetu haendeshwi na mihemuko au hafanyi mambo kwa uharaka YEYE anakupa MUDA ili utubu akiona bado unaendelea AÑAKUFANYA UWE NA MOYO MUGUMU. Ili akupasue vizuri.
Ref. Farao
 
Kwa jinsi nilivyowaona pale msibani ,aisee wanamajonzi sana moyoni .

Yule Mama ameshindwa hadi kumuangalia Jenister kwa mara ya mwisho.

Maana alijua atamtokea sana sana ndotoni .

Ila tabu bado iko pale pale .
 
Sura zao nimeona zina majuto Sana

Ukitazama sura ya mzee wa super black imejaa nuru kuliko hao wengine current leaders
 
Unafurahi mwenyewe
Mkumbusheni miaka 5 sio Mingi.
Baada ya hapo anarudi kizimkazi na majuto.
Unamwaga damu za watu unakaa madarakani miaka 5 unakuja kujuta maisha yako yote yaliyobaki
 
Hii culture ya utekaji na mauaji aliyoleta huyu na genge lake la wahuni, ni msiba mkubwa kwa Taifa itachukua years kurekebisha na victims watakuwa wengi, katuharibia nchi mpaka basi
Give a dog bad name and kill it. Roma alitekwa kipindi gani?!!! Mo alitekwa kipindi gani?!!! Maiti ufukweni zilikuwa zinaokotwa kipindi gani?!!!! Nape alitolewa bastola hadharani kipindi gani?!!! Lissu alipigwa risasi kipindi gani?!!!!

Asiye na mtu ana Mungu!
 
Hawa jamaa kufumba na kufumba hatitawasikia tena maisha I. Hakika hizo ndio Shoti. Jichanganye upasuliwe
Wahani wametekan ana kuuana. Kama wangefanyiana wao kwa wao na siyo kuwaingiza wasio wahuni wala isngekuwa issue. Hii ndiyo maana chawa kama gwajima huwa namstukia kama chambo. Mbona hawamteki na kumpoteza shetani huyu anayejiita mtumishi wa Mungu wakati ni tapeli anayetumikia taifa lake na shetani?
 
Give a dog bad name and kill it. Roma alitekwa kipindi gani?!!! Mo alitekwa kipindi gani?!!! Maiti ufukweni zilikuwa zinaokotwa kipindi gani?!!!! Nape alitolewa bastola hadharani kipindi gani?!!! Lissu alipigwa risasi kipindi gani?!!!!

Asiye na mtu ana Mungu!
Sasa kama hao wengine walifanya na yeye afanye? Na hiki sio alichokiongea ile siku na wazee. Kisa huko nyuma kuna walioteka na kuua na yeye ndio afanye? Au kama watu hawakuongea (japo waliongea sana tu, mnajizima data), ndio leo watu wasiongee? Eti aachwe amalize miaka yake 5, amalize kwa watu kukaa kimya wengine wakitekwa, wakiuliwa, wakinyanyaswa, kukiwa hakuna haki wala maendeleo yoyote, kukiwa na rushwa hazitamaniki kila kona ya serikali.. hapana kwa kweli.
 
Hawa jamaa kufumba na kufumba hatitawasikia tena maisha I. Hakika hizo ndio Shoti. Jichanganye upasuliwe
Inasikitisha sana...

Pilipili angalau hata mwili wake ulizikwa kwa heshima huyo mwingine hata haijulikani yupo hai au la..
 
Back
Top Bottom