Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

Give a dog bad name and kill it. Roma alitekwa kipindi gani?!!! Mo alitekwa kipindi gani?!!! Maiti ufukweni zilikuwa zinaokotwa kipindi gani?!!!! Nape alitolewa bastola hadharani kipindi gani?!!! Lissu alipigwa risasi kipindi gani?!!!!

Asiye na mtu ana Mungu!
Haijalishi, hili limama shetani pia linaua na kuteka pia, na limeua maelfu ya waandamanaji waliokuwa hawana silaha na kuiba uchaguzi mchana kweupe, 98% my az%#*z na kila mwenye chembe ya ubongo anajua
 
Wahani wametekan ana kuuana. Kama wangefanyiana wao kwa wao na siyo kuwaingiza wasio wahuni wala isngekuwa issue. Hii ndiyo maana chawa kama gwajima huwa namstukia kama chambo. Mbona hawamteki na kumpoteza shetani huyu anayejiita mtumishi wa Mungu wakati ni tapeli anayetumikia taifa lake na shetani?
Kosa la Gwajima ni nn?
Na unafikiri wangempata wangemuacha? Thubutu
 
kwa hiyo mpaka sahivi kuuwawa kwa mc chilichili
Mgombeya nafasi ya udiwani kwa ccm ,bado polisi hawajajuwa au ndiyo uchunguzi unaendelea!

Ova
 
Give a dog bad name and kill it. Roma alitekwa kipindi gani?!!! Mo alitekwa kipindi gani?!!! Maiti ufukweni zilikuwa zinaokotwa kipindi gani?!!!! Nape alitolewa bastola hadharani kipindi gani?!!! Lissu alipigwa risasi kipindi gani?!!!!

Asiye na mtu ana Mungu!
Hayo yalifanyika wakati TLP wanaongoza nchi.

Huwa mnakuawa na akili zilizojaa takataka.

Chama chenu ni cha waovu hakuna msafi mumejaa meshetani tupu. Ccm mwisho wenu unakuja.
 
Sasa kama hao wengine walifanya na yeye afanye? Na hiki sio alichokiongea ile siku na wazee. Kisa huko nyuma kuna walioteka na kuua na yeye ndio afanye? Au kama watu hawakuongea (japo waliongea sana tu, mnajizima data), ndio leo watu wasiongee? Eti aachwe amalize miaka yake 5, amalize kwa watu kukaa kimya wengine wakitekwa, wakiuliwa, wakinyanyaswa, kukiwa hakuna haki wala maendeleo yoyote, kukiwa na rushwa hazitamaniki kila kona ya serikali.. hapana kwa kweli.
Niliyemjibu alianza na maneno haya, "hii culture ya utekaji na mauaji aliyeleta huyu mama........"

Je, wewe, naamini u-mkristo swaaafi kabisa, hiyo ni kweli?!!!!!!! Tumchukie mtu kwa chuki kubwa tuwezavyo kama tulivyojaaliwa na Mungu lakini chonde chonde tusiwe waongo wa kupitiliza kisa tu chuki. Kwa kufanya hivyo tunazidi kumbariki tunayemchukia bila sababu.
 
Hujui maongezi haya yametokea wapi we kima hivyo Bora unyamaze tu. Hata hivyo, ndo kusema unataka tuongozwe na chama gani, chadema?!!! Kumanina we, yaani unataka sote tugeuzwe kuwa mashoga kama nyie?!!!! Chadema haiwezi kuchukua nchi hii pumbavu zenu.
Mapunga mna shida sana.

Akili zimewaganda sana, sio kila mwananchi asiyetaka usenge mnaouleta ni Chadema.

Ukuma wa CCM wa kuzani kila raia ni mpumbavu umeisha subirini kufilwa kwa mboo za moto.
 
Mapunga mna shida sana.

Akili zimewaganda sana, sio kila mwananchi asiyetaka usenge mnaouleta ni Chadema.

Ukuma wa CCM wa kuzani kila raia ni mpumbavu umeisha subirini kufilwa kwa mboo za moto.
Endelea kusubiri Huku ukifokolewa na mabwana zenu wa kibelgiji hao senge wewe!!
 
Give a dog bad name and kill it. Roma alitekwa kipindi gani?!!! Mo alitekwa kipindi gani?!!! Maiti ufukweni zilikuwa zinaokotwa kipindi gani?!!!! Nape alitolewa bastola hadharani kipindi gani?!!! Lissu alipigwa risasi kipindi gani?!!!!

Asiye na mtu ana Mungu!
Hiki kitu ukisema wafuasi wa Magu wanakuja juu ila Magu ndio aliounzisha huu mchezo ulianza kama mti mdogo na sasa umekua mbuyu mkubwa
 
Huyo Polepole mnayemtukuza ndiye muasisi wa biashara ya kununua wapinzani. Na ndiye aliyemshauri Jiwe wapinzani waminywe wasifanye aina yoyote ya siasa kwa miaka 5.
Kweli nyie ni Matahira
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Endelea kusubiri Huku ukifokolewa na mabwana zenu wa kibelgiji hao senge wewe!!
Mshazoea kufilimbwa mbwa nyinyi.

Mnasapoti mitandao kufungiwa halafu bado mnashinda kwenye mitandao hiyohiyo iliyofungiwa kusapoti Ujinga.

Wapuuzi daraja la kwanza.
 
madaraka haya dumu, kipindi magufuri yupo, alitamba sana na kejeli kwa upinzani.. mfumo huu aliukubali na yeye na kuunga mkono, leo umekuwa mbaya kwake.
Hii iwe ni alarm kwa watawala wote, katiba mpya ni muhimu kuliko madaraka ya mda mfupi..
 
Kuna Sheria ilipitishwa pale Bungeni sijui ya usalama kutekeleza mambo yao!aiseh!bad very bad! Ndio hiyo na imehalalisha yanayotokea!
 
Back
Top Bottom