Balozi Polepole: Wahuni ni Watu wa hovyo sana!

Balozi Polepole: Wahuni ni Watu wa hovyo sana!

Raia Mwema: Kampuni ya Yono yapigwa stop kuuza mali za Musiba
 
.
20230509_210058.jpg
 
Membe alikunywa shampeni baada ya kifo Cha JPM. Nape akaahangalia Mungu ameamua ugomvi.

Makamba akafanya sherehe kubwa.

Mungu hapangiwi hakika.
 
Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana

Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio

Jumaa kareem!
Polepole sio Mhuni? Au ndani ya CCM hakuna WAHUNI?
 
Membe alikunywa shampeni baada ya kifo Cha JPM. Nape akaahangalia Mungu ameamua ugomvi.

Makamba akafanya sherehe kubwa.

Mungu hapangiwi hakika.
Ubarikiwe kwa hayo machache. Nasema kwa uhakika. Tuwe tunatafuta mwongozo na tuwe tuna angalia ndimi zetu. Haijalishi nimekuwa nikijibu maneno ya mitufuano, husuasani likija neno la mungu, na huwa nasema/ natumia JOSHUA 24:15. Huwa napata Jeuri kuwajibu 'Wahuni' Leo hii, nilipata mwongozo wa DEUTRONOMY.
sina la ziada
Its a Sad day,yet humbling.
 
5 On that day Joshua made a covenant for the people, and there at Shechem he reaffirmed for them decrees and laws.
Wahuni wamefanya nini?
 
Huyu ndo atakuja kuwa rais wa tanzania baada ya samia Makonda waziri mkuu kuna watu watakimbia nchi yao hawa msiwafanyie ubaya Kama ilivyokuwa usimdharau makamu maana anaweza kuwa rais wakati wowote
 
"....msione nipo kimya ila nawafuatilia!"

"Yapo mambo nayaweka sawa yahusuyo fursa na jiandae kuzitumia."

"....#kataeni wahuni!"

Polepole.
Pole pole njoo nyumba haraka kuna mambo muhimu sana .
Tunakuomba njoo nyumba tafadhali
 
Attachments

  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • FBF8C74B-0958-4E66-A44A-43906FCBC457.jpeg
    FBF8C74B-0958-4E66-A44A-43906FCBC457.jpeg
    140.9 KB · Views: 2
  • IMG_0779.MP4
    1.4 MB
  • 3A104653-5948-4CB8-804C-BD12ABBDB179.jpeg
    3A104653-5948-4CB8-804C-BD12ABBDB179.jpeg
    51.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom