Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
CubaWapi huko tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CubaWapi huko tena?
Aaah kumbe. Nikajua nae yuko kwenye maandamano nije nimpe ulinzi chapu.Cuba
Yeye mwenyew muhuni kama wahuni wengine!! Sintosahau alivyojaribu ku brainwash watanzania kuhusu issue ya ile 1.5trn!!"....msione nipo kimya ila nawafuatilia!"
"Yapo mambo nayaweka sawa yahusuyo fursa na jiandae kuzitumia."
"....#kataeni wahuni!"
Polepole.
Polepole ndio nani, umechoka mpaka unaokoteza vinyau vidogo kiasi hicho?Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana
Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio
Jumaa kareem!