johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yupo Dar au ni kutokea huko Cuba? Wahuni si ni nyinyi wenzake mliompokonya ulaji. Wewe si mhuni? Wahuni mmemloga MembeBalozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana
Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio
Jumaa kareem!
Wahuni include Covid-19 and MwambaYupo Dar au ni kutokea huko Cuba? Wahuni si ni nyinyi wenzake mliompokonya ulaji. Wewe si mhuni? Wahuni mmemloga Membe
Polepole sio Mhuni? Au ndani ya CCM hakuna WAHUNI?Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana
Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio
Jumaa kareem!
Amehojiwa leo hii!?Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana
Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio
Jumaa kareem!
Ubarikiwe kwa hayo machache. Nasema kwa uhakika. Tuwe tunatafuta mwongozo na tuwe tuna angalia ndimi zetu. Haijalishi nimekuwa nikijibu maneno ya mitufuano, husuasani likija neno la mungu, na huwa nasema/ natumia JOSHUA 24:15. Huwa napata Jeuri kuwajibu 'Wahuni' Leo hii, nilipata mwongozo wa DEUTRONOMY.Membe alikunywa shampeni baada ya kifo Cha JPM. Nape akaahangalia Mungu ameamua ugomvi.
Makamba akafanya sherehe kubwa.
Mungu hapangiwi hakika.
5 On that day Joshua made a covenant for the people, and there at Shechem he reaffirmed for them decrees and laws.Ubarikiwe kwa hayo machache. Nasema kwa uhakika. Tuwe tunatafuta mwongozo na tuwe tuna angalia ndimi zetu. Haijalishi nimekuwa nikijibu maneno ya mitufuano, husuasani likija neno la mungu, na huwa nasema/ natumia JOSHUA 24:15. Huwa napata Jeuri kuwajibu 'Wahuni' Leo hii, nilipata mwongozo wa DEUTRONOMY.
sina la ziada
Its a Sad day,yet humbling.
Lo! Wasomi wetu ni watu wa hovyo sana, eti msomi shefu ya vitabu haina kitabu hata kimoja, tunapenda sana kupiga midomo ya bata kuliko kusoma.
Biting the hand which feeds you Mr. Polex2"....msione nipo kimya ila nawafuatilia!"
"Yapo mambo nayaweka sawa yahusuyo fursa na jiandae kuzitumia."
"....#kataeni wahuni!"
Polepole.
Pole pole njoo nyumba haraka kuna mambo muhimu sana ."....msione nipo kimya ila nawafuatilia!"
"Yapo mambo nayaweka sawa yahusuyo fursa na jiandae kuzitumia."
"....#kataeni wahuni!"
Polepole.