Mnada wa Mhunze Senior Member Joined Mar 1, 2023 Posts 168 Reaction score 819 Jun 19, 2023 #21 JF Member said: Wapi huko tena? Click to expand... Cuba
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Jun 19, 2023 #22 Mnada wa Mhunze said: Cuba Click to expand... Aaah kumbe. Nikajua nae yuko kwenye maandamano nije nimpe ulinzi chapu.
Mnada wa Mhunze said: Cuba Click to expand... Aaah kumbe. Nikajua nae yuko kwenye maandamano nije nimpe ulinzi chapu.
Pac the Don JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,170 Reaction score 7,710 Jun 19, 2023 #23 Mnada wa Mhunze said: "....msione nipo kimya ila nawafuatilia!" "Yapo mambo nayaweka sawa yahusuyo fursa na jiandae kuzitumia." "....#kataeni wahuni!" Polepole. Click to expand... Yeye mwenyew muhuni kama wahuni wengine!! Sintosahau alivyojaribu ku brainwash watanzania kuhusu issue ya ile 1.5trn!!
Mnada wa Mhunze said: "....msione nipo kimya ila nawafuatilia!" "Yapo mambo nayaweka sawa yahusuyo fursa na jiandae kuzitumia." "....#kataeni wahuni!" Polepole. Click to expand... Yeye mwenyew muhuni kama wahuni wengine!! Sintosahau alivyojaribu ku brainwash watanzania kuhusu issue ya ile 1.5trn!!
S saigilomagema JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 4,683 Reaction score 7,222 Jun 19, 2023 #24 johnthebaptist said: Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio Jumaa kareem! Click to expand... Polepole ndio nani, umechoka mpaka unaokoteza vinyau vidogo kiasi hicho?
johnthebaptist said: Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio Jumaa kareem! Click to expand... Polepole ndio nani, umechoka mpaka unaokoteza vinyau vidogo kiasi hicho?