Balozi Possi: Taswira ya Tanzania kimataifa ni nzuri sana

Balozi Possi: Taswira ya Tanzania kimataifa ni nzuri sana

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya.

Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Media, Balozi Possi amesema matukio hayo yaliwashangaza wengi kimataifa pamoja na Watanzania wenyewe kwani si mambo ya kawaida kwa nchi.
​
Ameeleza kuwa masuala ya ukiukaji wa haki za binadamu na migogoro ya kijeshi yanayotokea katika maeneo mbalimbali duniani yamekuwa changamoto kubwa kwa vyombo vya kimataifa, ikiwemo Umoja wa Mataifa, katika kupata suluhu za kudumu.

Hata hivyo, amesisitiza kuwa serikali imechukua hatua stahiki za ndani na kuendelea na juhudi za kidiplomasia ili kuhakikisha nchi inarejea kwenye msingi wake. Aliongeza kuwa kuundwa kwa tume za uchunguzi na kuendelea kwa mazungumzo (engagement) ni ishara tosha kuwa Tanzania ipo kwenye mwelekeo sahihi (right track).

 
Mwakilishi wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo Geneva, Balozi Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya.

Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Media, Balozi Possi amesema matukio hayo yaliwashangaza wengi kimataifa pamoja na Watanzania wenyewe kwani si mambo ya kawaida kwa nchi.
​
Ameeleza kuwa masuala ya ukiukaji wa haki za binadamu na migogoro ya kijeshi yanayotokea katika maeneo mbalimbali duniani yamekuwa changamoto kubwa kwa vyombo vya kimataifa, ikiwemo Umoja wa Mataifa, katika kupata suluhu za kudumu.

Hata hivyo, amesisitiza kuwa serikali imechukua hatua stahiki za ndani na kuendelea na juhudi za kidiplomasia ili kuhakikisha nchi inarejea kwenye msingi wake. Aliongeza kuwa kuundwa kwa tume za uchunguzi na kuendelea kwa mazungumzo (engagement) ni ishara tosha kuwa Tanzania ipo kwenye mwelekeo sahihi (right track).
well done amb.Possi🤝
 
"Tusiseme hatuna matatizo kwa kuyaficha matatizo yetu wenyewe. Ujasiri wa taifa hauko katika kuficha kasoro zake, bali katika kuzikubali na kuzitatua." Mwalimu J K Nyerere
 
HUYO NI MUONGO
Alafu Possi namuheshimu sana.

ACHA UONGO NI CHUKIZO NA DHAMBI MBELE ZA MUNGU, MUNGU HAPENI.
UONGO NI USHETANI.
 
Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Media, Balozi Possi amesema matukio hayo yaliwashangaza wengi kimataifa pamoja na Watanzania wenyewe kwani si mambo ya kawaida kwa nchi

Kutoka
Afrika ya Kusini

18 August 2026
Rhodes University
Makhanda, South Africa

Symposium marking 40 years since the death of Mozambique's founding president, Samora Machel

View: https://omny.fm/shows/update-noon-1/professor-moyo-says-samora-machel-s-education-message-remains-relevant?in_playlist=podcast

Delegates from across Africa have gathered at Rhodes University in Makhanda for a two-day symposium marking 40 years since the death of Mozambique's founding president, Samora Machel. Under the theme Aluta Continua: Samora Machel, Liberation Movements and the Unfinished Decolonial Project

PART 1 LIVE | Day 1: Samora Machel Symposium 2026 – Liberation Legacies

View: https://m.youtube.com/watch?v=nhHqCjj2GaA
Illegal presidency in Tanzania , the Massacre of thousands on and after the 29 October 2025 in Tanzania, fraudulent election, Samia Hassan being invited to Durban for SADC 46 head of states and governments meeting and other execessiness evil acts carried by liberation parties of CCM, ANC, FRELIMO .... to cling
 
Back
Top Bottom