TANZIA Balozi Richard Mariki, Katibu Mkuu mstaafu KKKT Afariki dunia

Hatuhangaiki , tunawalilia wapendwa wetu.
Hatuombei yakukute lakini itakuwa u.pumbavu kwako kufa na umeshaonywa hata na maaskofu.
 
Una tatizo fulani, I am trying to figure out.
Inaweza kuwa inferiority complex au psychological disorder.

Watu kumlilia mpendwa wao basi lazima awe maarufu?
Halafu hapa anaongelewa mtu aliyetumikia Taifa kama balozi na kiongozi wa taasisi ya kidini inayoongoza wengi nchini, halafu una post ujinga.

Nani kaongea juu ya Bill Gates hapa?
Zaidi ya hapo inaelekea ushamba unakusumbua.

Generally unaweza kuwa characterised kama uncouth!
 
Shame on yourself unayetaka watu maarufu tu ndio watangazwe hapa jukwaani.
Your so called fathers who fought for this independence that you are bragging for,were not discriminating other Africans and the people of Tanganyika basing on their colour,economic status and other factors.
Shame on you once again
 
Halafu wengi inaonekana ni age hiyo hiyo tu, vijana wanadunda.
Mtu aliyewahi kuwa na nafasi au mwenye nafasi katika jamii taarifa zake hujulikana kirahisi pale anapokumbwa na jambo kubwa kama umauti. Vijana wa "mtaani" wasio na alama yoyote katika jamii ni nadra habari zao kufahamika kama ilivyo kwa vigogo.

Hivyo, sio kwamba vijana wote "wanadunda", la hasha; wanaondoka kimya kimya kila mmoja kwa wakati wake taarifa zao zinaishia ndani ya wigo wa familia zao na majirani. Chukua tahadhari.
 
Kama kawa niko mstari wa kwanza wa chanjo soon.
 
Hela hailetwi Mzee kasema hakuna Corona sasa hiyo NG'OS zenu zinakufa rasmi ndiyo maana mnapambania ili tutangaziwe kuna Corona Imekula kwenu.
 

Acha upumbavu we ng'ombe shrine. Sijui unaishi shimoni!
 
Bila shaka, Mariki ni watu Kilimanjaro, wanasafirisha kama ilivyo desturi yao au DSM panatosha?
Msikie huyu mariki tangu lini likawa jina la kikabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…