Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukujonga makundi makundi tata!Tukujhonga jumo jumo mweee
Sasa ni makundi makundi kwa kweli. Buriani Elihuruma Mpayo a.k.a Master YompaTukujonga makundi makundi tata!
Ndo yule anayejiita MC Mpayo au majina yamefanana?Sasa ni makundi makundi kwa kweli. Buriani Elihuruma Mpayo a.k.a Master YompaView attachment 1705321
Kwahiyo nyie huwa mnafanya booking ya viti kanisani? Apumzike kwa amaniMtu mstaarabu sana.
Nakikumbuka hata kiti chake pale kanisani KKKT Mbezi Beach.
RIP Balozi.
Kuchanga uischangie wewe wasubiri kwenda kukaa tu na kubweteka na sambi sako!Kwahiyo nyie huwa mnafanya booking ya viti kanisani? Apumzike kwa amani
Amefariki akiwa KCMC.Bila shaka, Mariki ni watu Kilimanjaro, wanasafirisha kama ilivyo desturi yao au DSM panatosha?
Duu, hapo mnaabudu nini hapo..., pepo inauzwa 😂😂Kuchanga uischangie wewe wasubiri kwenda kukaa tu na kubweteka na sambi sako!
Kaa vile viti vya wageni!
Juu yako kununua ungali hai, kabla corona haijakudedisha!Duu, hapo mnaabudu nini hapo..., pepo inauzwa 😂😂