Balozi Seif Idd, uongozi ni kupokezana vijiti. Sasa inatosha, waachie wengine

Balozi Seif Idd, uongozi ni kupokezana vijiti. Sasa inatosha, waachie wengine

Kama ungekuwa mfuatiliaji mzuri was siasa na mropokaji , MTU wa mihemko au kukurupuka basic ungekwisha sikia ya kuwa Balozi Seif ameshatangaza zamani kama mwaka huu ya kuwa yeye siasa basi na ametangaza Jimbini kwake.
Jimbini - Jimboni
 
Hoja ni Seif Idd
Okey. Kwahiyo issue tena hapa ni mtu siyo kupokezana vijiti wala umri. Kwasbbu ni Seif Idd basi siyo halali kwake kukaa madarakani muda mrefu, Ila freeman mbowe kwake ni halali hata akifia madarakani.
 
Kwani alisema anataka kugombea tena..? Balozi seif Ali iddy ametamka kwamba baada ya awamu ya dr shein kumaliza muda wake October 2020 hatagombea nafasi yeyote ya kisiasa
 
Kwani alisema anataka kugombea tena..? Balozi seif Ali iddy ametamka kwamba baada ya awamu ya dr shein kumaliza muda wake October 2020 hatagombea nafasi yeyote ya kisiasa
Hajafuatwa na wazee kuombwa ?
 
Back
Top Bottom