kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Ulikuwa darasa la ngapi vile [emoji3][emoji3]Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi wako wapi, Balozi bado nipo ninatamba kwenye chart, kwenye chart.. ninashika ileile moja namba natamba yeeeeaaaah
La saba sijui la 6???Ulikuwa darasa la ngapi vile [emoji3][emoji3]
Mkuu unanikumbusha mbali,kuna ile ngoma ya sugu inaitwa dar es salaam.....dar....Dsm...sema...Dsm.kuna ngoma nyingine salaam waleku balozi...waleku msalaam Mr.2...sema salaam waleku nikujibu waleku msalaam ndio salaam toka Dar es salaamWengi walikuwepo sasa hivi wako wapi wako wapi, Balozi bado nipo ninatamba kwenye chart, kwenye chart.. ninashika ileile moja namba natamba yeeeeaaaah
Kipindi hicho mbunge wangu anaitwa 2 proud...big up JONGWE[emoji106] [emoji106]La saba sijui la 6???
Hahaha sawa mkuuKipindi hicho mbunge wangu anaitwa 2 proud...big up JONGWE[emoji106] [emoji106]
Jamaa anjua sana [HASHTAG]#dolasoul[/HASHTAG]Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi wako wapi, Balozi bado nipo ninatamba kwenye chart, kwenye chart.. ninashika ileile moja namba natamba yeeeeaaaah
Namjua jamaa kupitia kwenye chati pekee, na binafsi sidhani kama alikuwa mwandishi mzuri in a rap sense. Alikuwa na weak bars, ila style yake na ile track ya Miika(Mika?) Mwamba ilikuwa hatari sana. Huu wimbo ungefanyiwa sound engineering nzuri, ungeishi milele.
Huu wimbo mbona beat ni kama ya STILL DRE ya DR DRE?