Balozi (The Tz Hip Hop legend)

Balozi (The Tz Hip Hop legend)

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Ni mmoja wa MC's ambao walijijengea umaarufu mkubwa kwa uandishi na flow....natamani huyu msanii na wenzake kama akina Imamu Abass warudi tena tusikie ladha zao.... naomba tujuzane kuhusu nyimbo za Balozi,wasifu wake,alipo kwa sasa na ikibidi tupaaze sauti Media zimtafute huyu mtu....ni moja ya wanaHiphop wanaokubalika sana..kipind yupo kwny form nilkuwa mdogo lkn legacy aliyoiacha ndio ilinifanya mpka nimuelewe huyu jamaa kwa sana....tumwagike yoote hapa yanayomhusu Balozi
 
Kuna kipindi alienda kuishi ulaya kama sikosei
 
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi wako wapi, Balozi bado nipo ninatamba kwenye chart, kwenye chart.. ninashika ileile moja namba natamba yeeeeaaaah
Ulikuwa darasa la ngapi vile [emoji3][emoji3]
 
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi wako wapi, Balozi bado nipo ninatamba kwenye chart, kwenye chart.. ninashika ileile moja namba natamba yeeeeaaaah
Mkuu unanikumbusha mbali,kuna ile ngoma ya sugu inaitwa dar es salaam.....dar....Dsm...sema...Dsm.kuna ngoma nyingine salaam waleku balozi...waleku msalaam Mr.2...sema salaam waleku nikujibu waleku msalaam ndio salaam toka Dar es salaam
 
Dar sio sehem ya kushangaa shangaa
Ukishangaa utaachwa kwenye mataa
 
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi wako wapi, Balozi bado nipo ninatamba kwenye chart, kwenye chart.. ninashika ileile moja namba natamba yeeeeaaaah
Jamaa anjua sana [HASHTAG]#dolasoul[/HASHTAG]
 
Namjua jamaa kupitia kwenye chati pekee, na binafsi sidhani kama alikuwa mwandishi mzuri in a rap sense. Alikuwa na weak bars, ila style yake na ile track ya Miika(Mika?) Mwamba ilikuwa hatari sana. Huu wimbo ungefanyiwa sound engineering nzuri, ungeishi milele.

Huu wimbo mbona beat ni kama ya STILL DRE ya DR DRE?
 
Dola Soul aliolewa na mama mmoja wa kizungu, akamchukua kwenda kuishi nae Marekani. Yule mama alikuwa anaitwa Miranda, alikuwa anapatikana sana Iringa. La sivyo saa hizi angekuwa anaimba mapambio CCM inogile kama John Komba.
 
Jina lake halisi Balozi Dola Soul ni nani vile
 
Back
Top Bottom