kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Ni mmoja wa MC's ambao walijijengea umaarufu mkubwa kwa uandishi na flow....natamani huyu msanii na wenzake kama akina Imamu Abass warudi tena tusikie ladha zao.... naomba tujuzane kuhusu nyimbo za Balozi,wasifu wake,alipo kwa sasa na ikibidi tupaaze sauti Media zimtafute huyu mtu....ni moja ya wanaHiphop wanaokubalika sana..kipind yupo kwny form nilkuwa mdogo lkn legacy aliyoiacha ndio ilinifanya mpka nimuelewe huyu jamaa kwa sana....tumwagike yoote hapa yanayomhusu Balozi