Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Kwa kosa gani wakati mnajibiwa na kuibiana na kwenda kwao kujiaibisha kwa kuombaomba na kukopa kana kwamba hamna raslimali?Kwann Bunge la Ulaya wanakimbia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu.
Umekula Makande ya Shemeji yako umeshindaje, unaandika uharo wako ,alafu Dola na CCM wakisoma hili andiko, DCI Kingai anampigia simu Bashungwa, MH Muite balozi wa Ulaya ajielezeπ€£Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusichukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatubua nguo
Jamani, kama hamjaenda shule jiepusheni na kutoa maoni mambo kama haya. Uchukulie hatua balozi wa nje? Hata akikuua mtu kama wewe hatafunguliwa mashitakaKwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusichukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana
Hahahahaha, yaani mmevurugwa huo ujasiri mnautoa wapi?Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana.
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana.
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
We mjinga wacha kuongea ufala kisa tu una milik Smart phone,Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana.
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Afadhali umeongeaJamani, kama hamjaenda shule jiepusheni na kutoa maoni mambo kama haya. Uchukulie hatua balozi wa nje? Hata akikuua mtu kama wewe hatafunguliwa mashitaka
Unaweza kukuta CCM wana wajinga kama hivi ndio maana mambo yanafanyika kienyeji sana. Eti balozi aitwe achukuliwe hatua. Eishi!
Yeye atawaita nchwa au kunguni kama siyo virobotoJPM aliwaita mabeberu, je huyo andunje wako si atawaita mbogo?
Duuh. Kazi iendeleeKwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa samaia sulubu hassaniiDuuh. Kazi iendelee
Wewe ndo mjinga kupitiliza. Huoni kama huu uzi ni sarcasm tupu? Watu kama wewe utakuta hata kupata milo miwili kwa siku ni shida.Jamani, kama hamjaenda shule jiepusheni na kutoa maoni mambo kama haya. Uchukulie hatua balozi wa nje? Hata akikuua mtu kama wewe hatafunguliwa mashitaka
Unaweza kukuta CCM wana wajinga kama hivi ndio maana mambo yanafanyika kienyeji sana. Eti balozi aitwe achukuliwe hatua. Eishi!
πππππ Steve Nyerere aandike waraka kuelezea. Kwenye kuongea yuko vizuri...Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!