Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Msiyakoroge tafadhaliKwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!