Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Msiyakoroge tafadhaliKwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Uvccm mnahitaji kurudi darasani ili kufundishwa somo la Ukoloni Mamboleo. Mnaonekana wengi wenu ni weupe sana kichwani.1. Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu.
2. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Bcc: Nay wa Kithembe Achia Ngoma ya Kusifu na kuabudu Tu mpaka kieleweke
Tate mkuu kumbe wewe ni mweupe sana kichwani? Umeshindwa kuelewa huu uzi ni sarcasm tu? Nitakagua vyeti vyako.Uvccm mnahitaji kurudi darasani ili kufundishwa somo la Ukoloni Mamboleo. Mnaonekana wengi wenu ni weupe sana kichwani.
Karibu.Tate mkuu kumbe wewe ni mweupe sana kichwani? Umeshindwa kuelewa huu uzi ni sarcasm tu? Nitakagua vyeti vyako.
Kwa nini uandike sacarsm? Kama una jamboo la kusema sema waziwaz,unaogopa nini? JF ni where we dare talk openly, sasa wewe na sarcasm zako tupishe.Wewe ndo mjinga kupitiliza. Huoni kama huu uzi ni sarcasm tupu? Watu kama wewe utakuta hata kupata milo miwili kwa siku ni shida.
Sijaandika mimi huu uzi.... PumbavKwa nini uandike sacarsm? Kama una jamboo la kusema sema waziwaz,unaogopa nini? JF ni where we dare talk openly, sasa wewe na sarcasm zako tupishe.
Na for your information, hujui kuandika kitu kwa kutumia sacarsm, hivyo bado nakushauri uende shule