Balozi wa Italia nchini Congo DRC auawa katika shambulizi

Balozi wa Italia nchini Congo DRC auawa katika shambulizi

Tayari mabeberu wanaendelea kugawana nchi ya DR Congo, si ajabu katika miaka ijayo nchi hii itagawanyika kama ilivyokuwa Sudan kugawanyika Sudan Kusini n.k
Ndio anachotaka hata Lisu!

Vi Lisu kutoka Congo viko vingi sana pale Ubelgiji
 
La haulaaaa, Congo wamejitafutia balaa salaaaaleeee!!! Huo mtungo watakaopigwa safari hii mpaka watapoteana, itakua ni amsha amsha!!!

Bora sisi tanzania admini aendelee kuwazodoa na kuwachamba na kuwatolea maneno mabeberu, ila asifikie hatua ya kumchania hata kifungo balozi yoyote wa mabeberu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee,yani balozi kapotea kabisa kama masihara,waitaliano hawatochukulia hili jambo kiswahili naamini watamalizana tu kwa njia nyeupe na njia nyeusi....na tabia za weupe kwa mtu au watu masikini zilivyo mbaya ,hujamchokoza tayari kashakwapua sasa ukimfinya kama walivyofanya congo si ndo anakushushia mzigo kabisa kidhahiri na kisiri..
 
Huwa Najiuliza kuna tatizo gani angalau kuthibiti tu Uasi mashariki mwa Congo?? Inasemekana huko ndio kuna magenge mengi ya hatari na huku kukiwa na miundombinu dhaifu sana
 
Tshekedi ameshindwa kabisa kuthibiti hali ya mambo...hivi kwanini hawaulizi na kupata uzoefu nchi zingine?? Tanzania hapa kuna miaka Tembo walikua wanauwawa kama njiwa tu kila siku unasikia ohh meno ya tembo yakamatwa..tembo wauwawa leo hii viko wapi?? Hakuna hilo jambo tena.
 
Nafikiri ni dili liloenda vibaya. Hapo lazima kulikuwa na exchange za madini, fedha au hata silaha, someone double crossed balozi.
Kama alitambua hapaswi kutembea hiyo njia bila escort ya UN, kwanini alisafiri na watu WFP tu peke yake??
Beberu huko Congo, wanafanya uhalifu mkubwa!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Tshekedi ameshindwa kabisa kuthibiti hali ya mambo...hivi kwanini hawaulizi na kupata uzoefu nchi zingine?? Tanzania hapa kuna miaka Tembo walikua wanauwawa kama njiwa tu kila siku unasikia ohh meno ya tembo yakamatwa..tembo wauwawa leo hii viko wapi?? Hakuna hilo jambo tena.
JKK miaka 18 aliweza?
Felix miaka 2 tu mnaona hafai ?

Kinachoendelea Congo RD ,Mungu akiepushe maana soon kinawaka jumla
 
Back
Top Bottom