Balozi wa Italia nchini Congo DRC auawa katika shambulizi

Balozi wa Italia nchini Congo DRC auawa katika shambulizi

Shida ya Congo mali imegeuka laana.
Mali kawaida ukiwa nayo na ukawa huna jicho la pili, huwa inageuka kuwa laana. Just imagine sisi tulipokuwa tumefikia especially kwenye kipindi cha ubinafsishaji.

Kuna maeneo kwenye migodi mikubwa ya dhahabu, sehemu aya makazi ya watu wanoafnya kazi migodini, kuna baadhi ya sehemu hizo ambazo ilikuwa hauruhusiwi kuonekana mtu mweusi, na ukionekana unaweza ukapigwa risasi.

Halafu nyuma ya huyo mtu anayekupiga risasi, anakuwepo mtu mwingine ndugu yako unayemfahamu, labda tuseme anaitwa Masanja kwa jina.

Ndiye anakuwa ameamrisha hivyo. Ndege zilikuwa zinatua na kupaa na matofali ya dhahabu bila kuulizwa na mtu yeyote. Hii si ilikuwa laana?
 
La haulaaaa, Congo wamejitafutia balaa salaaaaleeee!!! Huo mtungo watakaopigwa safari hii mpaka watapoteana, itakua ni amsha amsha!!!

Bora sisi tanzania admini aendelee kuwazodoa na kuwachamba na kuwatolea maneno mabeberu, ila asifikie hatua ya kumchania hata kifungo balozi yoyote wa mabeberu.
Nani sasa watakuja kuwashushia balaa mpaka wapoteane, United Nations wataanza kutembeza kichapo?
 
Tafuteni Documentary inaitwa Blood in Mobile ndio utajua kwanini jimbo la kivu haliwezi kutulia.

#MaendeleoHayanaChama
jiwe angavu niko hapa now naicheki hii documentary ya blood in mobile kali kinoma ( Frank from Denmark alikoma mbona kwenda walikale bisie[emoji16][emoji16])

Mkuu kama hutojali naomba unisaidie documentary zingine zenye mambo kama haya please[emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
jiwe angavu niko hapa now naicheki hii documentary ya blood in mobile kali kinoma ( Frank from Denmark alikoma mbona kwenda walikale bisie[emoji16][emoji16])

Mkuu kama hutojali naomba unisaidie documentary zingine zenye mambo kama haya please[emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
My mentor huyu frank alishafika hapa dar akaendesha semina
 
Congo inapitia ktk hali ngumu mno, kitendo cha JKK kurudi Lubumbashi then kusafiri juzi usiku kwenda Dubai na watu wake muhimu inatafakarisha sana

Na kuna baadhi ya kambi za jeshi zilivamiwa ,kifupi Congo kuna joto hasa
 
Hilo ni deni mwana. Yaani lazima kinuke. Na hako kakikundi lazima wakafute kabisa. Ila ya Kondo yanasikitisha unashangaa kuona hata bongo kuna wakuda wanataka eti beberu ajiamulie, yaani lisu aje aifanye bongo kuwa congo.
Inaonekana kwenye mambo ya siasa ni mweupe sana!!hahaaa, haya sio mambo ya ushabiki wa mpira, kuwa leo lazima simba ashinde!!yana hitaji ufahamu kidogo.UKIMYA UNA FICHA MENGI!!eti lazima kinuke, !!mzozo wa DRC, unaufahamu ki undani kweli?
 
Aisee,yani balozi kapotea kabisa kama masihara,waitaliano hawatochukulia hili jambo kiswahili naamini watamalizana tu kwa njia nyeupe na njia nyeusi....na tabia za weupe kwa mtu au watu masikini zilivyo mbaya ,hujamchokoza tayari kashakwapua sasa ukimfinya kama walivyofanya congo si ndo anakushushia mzigo kabisa kidhahiri na kisiri..
Wameua na Carabinieri mmoja,,,tatizo la congo ni kubwa mno,,inafaa igawanywe mara tatu ili itawalike kwa urahisi...
 
Back
Top Bottom