Ndio anachotaka hata Lisu!Tayari mabeberu wanaendelea kugawana nchi ya DR Congo, si ajabu katika miaka ijayo nchi hii itagawanyika kama ilivyokuwa Sudan kugawanyika Sudan Kusini n.k
Bonge la documentaryTafuteni Documentary inaitwa Blood in Mobile ndio utajua kwanini jimbo la kivu haliwezi kutulia.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]La haulaaaa, Congo wamejitafutia balaa salaaaaleeee!!! Huo mtungo watakaopigwa safari hii mpaka watapoteana, itakua ni amsha amsha!!!
Bora sisi tanzania admini aendelee kuwazodoa na kuwachamba na kuwatolea maneno mabeberu, ila asifikie hatua ya kumchania hata kifungo balozi yoyote wa mabeberu.
🙂Watatandikwa mpaka wasahau Kilingala. JWTZ waimarishe ulinzi mpakani.
Sanaaa yaniWameshaharibu
Duh mkuu subiri kdg mambo yakae sawa ,hoja itapelekwa AUHii inchi ilifaa igawanywe mala mbili kama sudani
JKK miaka 18 aliweza?Tshekedi ameshindwa kabisa kuthibiti hali ya mambo...hivi kwanini hawaulizi na kupata uzoefu nchi zingine?? Tanzania hapa kuna miaka Tembo walikua wanauwawa kama njiwa tu kila siku unasikia ohh meno ya tembo yakamatwa..tembo wauwawa leo hii viko wapi?? Hakuna hilo jambo tena.
Itagawanywa wapi na wapi na itakua chini ya nani?Duh mkuu subiri kdg mambo yakae sawa ,hoja itapelekwa AU
Details kidogo mkuu khs hapo kwny kuwaka jumla.JKK miaka 18 aliweza?
Felix miaka 2 tu mnaona hafai ?
Kinachoendelea Congo RD ,Mungu akiepushe maana soon kinawaka jumla
Soma history ya RD Congo vzr ,kwa upole na utaratibu utaelewa kituItagawanywa wapi na wapi na itakua chini ya nani?
Hahahaha, ingia deep tena deep khs RD Congo hasa kipindi hikiDetails kidogo mkuu khs hapo kwny kuwaka jumla.