Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Andamaneni sasa sio mnajazana humu na kupiga makele huku mmejificha nyuma ya majina bandia.
Hauna akili, kuna forums nyingi tu,unaweza kupita kule, sio fresh kuwa na kihere here cha kutype pumba.
 
Ni kweli demokrasia ina gurantee maendeleo. Kijiji X wamegoma kushiriki kichimba Mtaro kwa hiari kisa mwenyekiti hawakumchagua wao katka Uchaguzi mdogo, hivyo anachimba yeye na mtendaji, usipuuze hiyo kauli.
Sasa mpumbavu ni nani hapo kaka? naomba usiungane katika upumbavu wao hao wananchi, you can do much better than them. Imeisha hiyooooooooooooooo
 
Yeye anashangazwa na taarifa hizo maana hazipo. Fabricated. Na imani yake iko sawa
 
Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

2020/11/4
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during the recent election process in this country.

I am convinced that sound democracy based upon multiparty system works best to contribute to further development and prosperity of Tanzania.

GOTO Shinichi, Ambassador of Japan to Tanzania.

======

Ninashangazwa na habari za hitilafu na ubadhilifu zilizoshuhudiwa kwa wingi nchini humu katika mchakato wa uchaguzi wa hivi karibuni.

Nina uhakika demokrasia ya kweli chini ya mfumo wa vyama vingi itachangia zaidi maendeleo na ustawi wa Tanzania.

GOTO Shinichi, Balozi wa Japani nchini Tanzania.
Wao Japan mara ya mwisho walifanya lin uchaguzi?..wanamfumo gan wa uongozi? wao wana demokrasia? JIKA kazi yao kubwa n nn? Balozi kazi yake ni nini?kachukua hatua gani??...
 
Unajiona smart kumbe ovyo hahaha, haya nenda kwa mama kachukue hela ya bando
Mimi si mjanja na pia siyo hovyo. Kijana matusi hayakufai. Mimi sitegemei bando. Usimtukane mtu usiyemfahamu siku nyingine unaweza kumtukana baba yako au mama yako kama ni wanachama humu na hujui wanatumia majina gani. Be humble and do not personalize your participation. Siku moja utaona aibu utakapokutana na uliyemtukana.
 
Katika watu ambao hawana soni ni CCM si Kuzogolewa kote huko kuhusu wizi wa kura!
 
Mmoja mmoja na hatimaye watatoa jibu kwa umoja.

NOTE:
Ukilalamikiwa na jirani zako ipo siku watakusanyika pasi kujua na kujadili ili wakufunze.
hawna lolote walitegemea tukapige magoti kwao watupe hell ya uchaguzi, hizo NI njia za kuleta chokochoko WASHINDWE.
 
Kwisha hakika umeisha hata Balozi habishi hilo mkuu ila umeishaje ndio next step ambayo Balozi yupo sasa hivi.
Huyo Balozi nae yupo kwy kifungo cha kutokuwa na internet nn?. Maana yupo apa Dar es salaam Tanzania
 
hawna lolote walitegemea tukapige magoti kwao watupe hell ya uchaguzi, hizo NI njia za kuleta chokochoko WASHINDWE.
Mwenye umoja wa Afrika OAU sisi ni wanachama na tunatoa michango tunapaswa kupokea fedha kusaidia uchaguzi wala siyo mkopo, why mmeogopa?
 
Back
Top Bottom