Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Those puppets leaders na machawa wa USA lazma waunge mkono na kumshambulia Russia

Huko palestina, wamarekani walipora ardhi kibabe na kuikabidhi kwa matapeli wenzao hao wayahudi wa uongo, and no one cared, yaan hata UN ilibariki ili jambo as if lilikuwa zuri.

Sas Russia anapojaribu nae kujimilikisha ardhi anazodai zake, why mumuandame kiasi hicho?

Siasa za dunia ni hovyo sana yaana
Dunia haiendi bila unafiki mkuu.
 
Reports from Advisor to the Ukrainian Interior Ministry that Russian armed forces entered the Chernobyl Nuclear Plant zone and that fighting has broken out leading to the destruction of a nuclear waste storage facility.

#Ukraine #Russia
[Knish]
 
Kumbe Putin is watching Kenya's Government
9c12090db53a48c68a830cd45b7195fe(77).jpg
 
Reports from Advisor to the Ukrainian Interior Ministry that Russian armed forces entered the Chernobyl Nuclear Plant zone and that fighting has broken out leading to the destruction of a nuclear waste storage facility.

#Ukraine #Russia
[Knish]
Duh ...kweli Putin hana utani
 
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa dharura baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kwamba sasa anatambua sehemu ya Ukraine kama Urusi na atatuma wanajeshi wake kuwa walinzi wa amani katika majimbo hayo mawili.

Uingereza ilichukua hatua ya haraka kutangaza vikwazo. Urusi ilikemewa na nchi nyingi zikiwemo Mexico, Ireland, Norway, Ghana, na nyinginezo. Lakini ni Kenya ndio iliyojitokeza kwa makali yake kwa jinsi ilivyojibu hatua hiyo ya Urusi.

Balozi wake kwa Umoja wa Mataifa Martin Kimani alitoa hotuba ambayo wengi wamejitokeza kuisifia kama iliyoeleza kwa urahisi na ukali unaostahiki ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa ambao urusi imetekeleza.

"Uhuru wa eneo na mamlaka ya Ukraine yamevunjwa," alisema Balozi Martin Kimani.

"Mkataba wa Umoja wa Mataifa unaendelea kudhoofika chini ya shambulio hilo lisilo na huruma. Kwa wakati mmoja unatolewa kwa heshima na nchi zile zile ambazo kisha zikaupa kisogo katika kutekeleza malengo yanayopinga amani na usalama.... Kenya inasikitishwa sana na tangazo lililotolewa na Urusi la kutambua maeneo ya Ukraine kama mataifa huru'

Aliendelea kusema kuwa Kenya ina wasiwasi mkubwa juu ya athari ambayo Urusi inaweza kuwa nayo ikiwa itaruhusiwa na UN kushambulia na kunyakua nchi zingine.

Mfano wake ni kwamba mipaka ya Afrika ilikubaliwa na nchi zote za huko, licha ya mipaka hiyo kulazimishwa na wakoloni. Alieleza kuwa mataifa ya Afrika yalifanya uamuzi huo badala ya kuwa na vita visivyoisha.

"Tulikataa upanuzi kwa misingi yoyote, ikiwa ni pamoja na rangi, kabila, au kitamaduni," Kimani alisema. "

Baada ya hotuba yake hiyo ,maoni yalianza kutolewa huku akisifiwa kwa hotuba yake hiyo .Watumiaji wa mitandao ya kijamii walituma jumbe za kuonyesha 'makali' ya ujumbe wake na jinsi Kimani alivyojieleza na kuwakilisha msimamo wa kenya kuhusu hatua ya Urusi ;

Balozi Martin Kimani ni nani?

Balozi kimani aliteuliwa kuwa mwakilishi wa Kudumu wa Kenya katika Umoja wa mataifa mwaka wa 2020 .

Kabla ya uteuzi wake wa hivi punde zaidi, Bw. Kimani alikuwa Mjumbe Maalumu wa Rais wa Kukabiliana na Itikadi kali na Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Kenya kuanzia Septemba 2015.

Pia aliwahi kuwa Katibu wa Mikakati katika Ofisi ya Mtendaji wa Rais kuanzia Disemba 2018.

Bw. Kimani alikuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa huko Nairobi, Mpango wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa (UNEP) na Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Makazi (UN-Habitat) kati ya Desemba 2012 na Septemba 2015.

Mapema katika taaluma yake, Bw. Kimani alikuwa Mkurugenzi katika Mamlaka ya Kiserikali juu ya Maendeleo (IGAD) nchini Ethiopia, kuanzia Aprili 2011 hadi Disemba 2012.

Bw. Kimani alipata PhD na shahada ya uzamili katika masomo ya vita katika Chuo cha King's College, Chuo Kikuu cha London, mwaka wa 2010 na 2003, mtawalia, na pia shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha New Hampshire mwaka wa 1996

Source bbc swahili

Je, kiutalaamu hili limekaaje ....au ni sawa na sisimizi kumpiga biti tembo[emoji23][emoji23]
View attachment 2127616
Wakenya wenyewe masikini tupu na njaa zimewajaa mpaka matakoni sasa mnakuja ingia kwenye maswala ya urusi ambayo ni tajiri, pambaneni kwanza na ujinga,umasikini,njaa na ukabila mkimaliza ndo muweze bonga. Acheni kutafuta kiki it's fact.
IMG_20220225_152557.jpg
 
sababu Gaddafi alikuwa terrorist!
Alijifanya akisema mazuri lakini mambo aliyofanya yalikuwa ya kinyama!
Ata sahi uko Libya wanamchukia na manavumbua ambavyo alifanya,alikuwa akinyanyasa nchi yake na alikuwa racist sana,alikuwa akisurporti magaidi,ambao walikuwa wakidhulumu wananchi wa Libya na kushambulia nchi zengine kigaidi
Alikuwa Osama wa Afrika!
Alikuwa anashikwa mkono na Arab states na kazi yao ilikuwa ni kuleta immigrants waarabu Afrika na kuwadhulumu Waafrika weusi!
Alijifanya mzuri ili aweze kututumia akijifanya anapenda Afrika,na alichukia Europe na Amerika sana!
Huyo jamaa kama hangemalizwa Afrika ingekuwa imejaa magaidi waarabu kotekote!

Leta evidence.
 
Back
Top Bottom