Balozi wa Kenya Nchini Tanzania akabidhiwa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi leo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mh Dani Kazungu atembelea Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM zilizopo Lumumba Dar es salaam na kukabidhiwa Ilani hiyo ya CCM na Dkt Bashiru Ally Kakurwa

Ameipongeza Tanzania Kuwa Kisiwa cha Amani
 
Lisu ni loser tu, hawezi Wala hataweza kumshinda magufuli

Sasa kama mnafahamu hivyo mbona mnatumia nguvu nyingi kupambana naye, tuonaona kwenye video za Youtube mnamzuia asitumie kivuko, mara asitumie helkopta, mara mabomu ya polisi, mara mumzuie siku saba asifanye kampeni....yaani duh.
Halafu jamaa mwenyewe ni jasiri la kufa mtu, katia kambi Chato na kupokelewa na nyomi balaa....huyo atawasumbua sana kwa kweli.....mnalo
 
Duh! Sijaona siku nyingine mkifanya hivi, kwani huyo Lissu ana nini mpaka mumeamua kuparamia kote......
Uhuru anajipendekeza na sitashangaa akija kuzuru Tanzania kabla ya October 28!
EkXjG75WoAAu50W

Sasa kama mnafahamu hivyo mbona mnatumia nguvu nyingi kupambana naye, tuonaona kwenye video za Youtube mnamzuia asitumie kivuko, mara asitumie helkopta, mara mabomu ya polisi, mara mumzuie siku saba asifanye kampeni....yaani duh.
Halafu jamaa mwenyewe ni jasiri la kufa mtu, katia kambi Chato na kupokelewa na nyomi balaa....huyo atawasumbua sana kwa kweli.....mnalo
Umeona ujasiri wa tundu, hujaona upekee wa watanzania? Ninyi mlivyo wakabila inaweza tokea mgombea akaenda nyumbani kwa mpinzani wake kabila hasimu akapokelewa hivyo?
 
Sasa kama mnafahamu hivyo mbona mnatumia nguvu nyingi kupambana naye, tuonaona kwenye video za Youtube mnamzuia asitumie kivuko, mara asitumie helkopta, mara mabomu ya polisi, mara mumzuie siku saba asifanye kampeni....yaani duh.
Halafu jamaa mwenyewe ni jasiri la kufa mtu, katia kambi Chato na kupokelewa na nyomi balaa....huyo atawasumbua sana kwa kweli.....mnalo
Hakuna nguvu inayotumika hayo ni maneno ya mkosaji ma losers ni wafa maji hawaishi kutapatapa, wanajaribu kutafuta vijisababu ili kuvuruga uchaguzi (kwa kuvunja sheria na taratibu) makusudi, (wakijua wazi hawawezi kushinda)
 
Kuna video zinaonyesha mkuu fulani wa polisi akiapa kwamba Mbowe hatomshinda mgombea wa CCM, yaani mpaka polisi hawafichi upendeleo, ndio mara ya kwanza nimeona ukabila unatumika live Tanzania bila kuficha jinsi huwa mnaficha, mkulu anachimba mikwara kwa Kisukuma.
Huu uchaguzi mumeshikwa pabaya chama dola.
 
Anajua ukweli kuwa chadema hawawez shinda so alikua anaongea ukweli... Ungeujua muundo wa maisha ya watz na mfumo ulokuwepo ndio utajua Why kumtoa ccm ni ngumu Sana labda itokee wamemess Up sanaaa afu kitokee chama au wanachama wengme wa ccm wawe wapinzani vngnevyo hakuna upinzan utashnda tz. Ccm ni kama culture vle
 
Sasa uchaguzi huwa mnafanya wa nini haswa kama wote hadi polisi, NEC, wasanii wote CCM.....
Nakubaliana na wewe kwenye hilo la kuitoa CCM sio rahisi, na sio kwa miaka ya hivi karibuni, labda wajitokeze Watanzania aina ya Lissu wawe wengi, watu wenye ujasiri, anapigwa risasi 38 na bado anakomaa.....
 
Duh! Sijaona siku nyingine mkifanya hivi, kwani huyo Lissu ana nini mpaka mumeamua kuparamia kote......
Mimi mwenyewe nashangaa lengo lao la kumpa balozi Kazungu ilani ya chama ni lipi haswa. Au wamempa hadi na kadi ya CCM na ile ya kupigia kura pia? Maanake balozi wa Tz nchini Kenya hatumjui kwa jina, achia mbali sura. [emoji1] Hivi nchini Kenya kuna balozi wa nchi yeyote ile ambaye huwa anahusishwa na vyama vya kisiasa kwenye kampeni wakati wa uchaguzi? Nakumbuka kuna mmoja aliingia kichwa kichwa na kiherehere chake kwenye shughuli za uchaguzi mkuu wa 2013. Sijui alikuwa wa Ubelgiji, alifokewa kweli kweli na vyama vyote na akaelezwa kwamba asidhubutu kutia pua lake kwenye masuala ya ndani ya nchi ya Kenya.
 
Sasa kama mnafahamu hivyo mbona mnatumia nguvu nyingi kupambana naye, tuonaona kwenye video za Youtube mnamzuia asitumie kivuko, mara asitumie helkopta, mara mabomu ya polisi, mara mumzuie siku saba asifanye kampeni....yaani duh.
Halafu jamaa mwenyewe ni jasiri la kufa mtu, katia kambi Chato na kupokelewa na nyomi balaa....huyo atawasumbua sana kwa kweli.....mnalo
Hakuna upinzani Tanzania wote hao ni team moja.

Mimi mwenyewe nashangaa lengo lao la kumpa balozi Kazungu ilani ya chama ni lipi haswa. Au wamempa hadi na kadi ya CCM na ile ya kupigia kura pia? Maanake balozi wa Tz nchini Kenya hatumjui kwa jina, achia mbali sura. [emoji1] Hivi nchini Kenya kuna balozi wa nchi yeyote ile ambaye huwa anahusishwa na vyama vya kisiasa kwenye kampeni wakati wa uchaguzi? Nakumbuka kuna mmoja aliingia kichwa kichwa na kiherehere chake kwenye shughuli za uchaguzi mkuu wa 2013. Sijui alikuwa wa Ubelgiji, alifokewa kweli kweli na vyama vyote na akaelezwa kwamba asidhubutu kutia pua lake kwenye masuala ya ndani ya nchi ya Kenya.

1206561_baloz.jpg

Huyo siyo balozi wa kwanza kuwa na CCM, tulikuwa na balozi wa China aliyekuwa akivaa kofia za CCM, kama picha inavyoonesha hapo juu.
 
Duh! Sijaona siku nyingine mkifanya hivi, kwani huyo Lissu ana nini mpaka mumeamua kuparamia kote......
Ktk wagomnea wa upinzani atakaepata pigo kubwa kuanzia wabunge mpaka ye mwenyewe huyu
 
Mimi mwenyewe nashangaa lengo lao la kumpa balozi Kazungu ilani ya chama ni lipi haswa. Au wamempa hadi na kadi ya CCM na ile ya kupigia kura pia? Maanake balozi wa Tz nchini Kenya hatumjui kwa jina, achia mbali sura. [emoji1] Hivi nchini Kenya kuna balozi wa nchi yeyote ile ambaye huwa anahusishwa na vyama vya kisiasa kwenye kampeni wakati wa uchaguzi? Nakumbuka kuna mmoja aliingia kichwa kichwa na kiherehere chake kwenye shughuli za uchaguzi mkuu wa 2013. Sijui alikuwa wa Ubelgiji, alifokewa kweli kweli na vyama vyote na akaelezwa kwamba asidhubutu kutia pua lake kwenye masuala ya ndani ya nchi ya Kenya.
Balozi ndio ameenda, uhuru kaona asifanye mistake akaonekana ana side na lisu, kaamua kumtuma balozi wake, macho huna, akili huna pia.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
1206561_baloz.jpg

Huyo siyo balozi wa kwanza kuwa na CCM, tulikuwa na balozi wa China aliyekuwa akivaa kofia za CCM, kama picha inavyoonesha hapo juu.
Acha mswahili mwenzenu balozi Kazungu aendelee kuwazingua, maanake ndio kazi yake hiyo. Ila kama mnangoja tamko lolote kutoka Kenya, la kuiunga mkono sisiemu yenu, mtachoka sana. Sio kutoka kwa rais UK, mwenzake Rt. Hon Raila Odinga, naibu rais William Samoei Arap Ruto au hata kigogo wa upinzani Mudavadi Masakhalia. Wakenya na viongozi wao wapo busy na masuala yanayohusu nchi yao, pambaneni na hali yenu.
 
Sitiupid, kwahivyo alienda kwa kustukiza na akasema kwamba rais UK ameagiza kwamba apewe ilani ya chama? [emoji38]
Stupid guy huelewi balozi ni nani, yule anawakilisha nchi, specifically jubilee government, chochote anachofanya balozi, ni maagizo na makubaliano na wakubwa zake.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Stupid guy huelewi balozi ni nani, yule anawakilisha nchi, specifically jubilee government, chochote anachofanya balozi, ni maagizo na makubaliano na wakubwa zake.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako nchini Kenya watumishi kama hao huwa ni wa kujituma zaidi. Kwa mujibu wa katiba na taaluma zao pia. Sio kama wale wenu wa kutetemeka na kutokwa na kijasho wakimuona mzee. Wenye mazoea ya kuketi kitako maofisini wakingoja maagizo kutoka juu. Sawa mataga? Katage yai sasa.
 
Back
Top Bottom