Balozi wa Kenya Nchini Tanzania akabidhiwa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi leo

Balozi wa Kenya Nchini Tanzania akabidhiwa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi leo

Kwa taarifa yako nchini Kenya watumishi kama hao ni wa kujituma zaidi. Kwa mujibu wa katiba na taaluma zao pia. Sio kama wale wenu wa kutetemeka na kutokwa na kijasho wakimuona mzee. Wale wenye mazoea ya kuketi kitako maofisini wakingoja maagizo kutoka juu. Sawa mataga? Katage yai sasa.

Hujui shughuli za kibalozi mbwiga wewe, ndio ukae ukijua jubilee wamemu endorse magufuli tena, mataga ni make Tz better again, sasa ww baki hapo ukiwaza mayai huku magufuli your pain in your ass is making progress.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Umeona ujasiri wa tundu, hujaona upekee wa watanzania? Ninyi mlivyo wakabila inaweza tokea mgombea akaenda nyumbani kwa mpinzani wake kabila hasimu akapokelewa hivyo?
Eti upekee, upi huo? Hivi ndio walimpokea rais Uhuru kule Kisumu, ngome ya mpinzani wake Raila. Tena hapo ilikuwa ni muda mfupi baada ya mvutano wa uchaguzi mkuu, ambapo Raila alijiapisha kama rais.
images
uhuru.jpg
Umezoea uhuni wa sisiemu na siasa za uadui mithili ya mbwa na paka. Ndio maana unapandwa na mahanjam kisa vitu vya kawaida ambavyo ni haki ya wagombea wote. Ila ukisikia kuhusu masuala nyeti kama tume huru ya uchaguzi na 'balanced coverage' ya wagombea wote kutoka kwa wanahabari unaanza kujitia hamnazo. Hizo ndio hoja muhimu za kupigia tarumbeta ya upekee.
 
Sasa uchaguzi huwa mnafanya wa nini haswa kama wote hadi polisi, NEC, wasanii wote CCM.....
Nakubaliana na wewe kwenye hilo la kuitoa CCM sio rahisi, na sio kwa miaka ya hivi karibuni, labda wajitokeze Watanzania aina ya Lissu wawe wengi, watu wenye ujasiri, anapigwa risasi 38 na bado anakomaa.....
Hata Mimi nilipokuwa secondary nilikua chadema nimemaliza elimu yangu na kufahamu uhalisia wa maisha Sasa kura yangu nimerudisha CCM
 
Hakuna upinzani Tanzania wote hao ni team moja.

1206561_baloz.jpg

Huyo siyo balozi wa kwanza kuwa na CCM, tulikuwa na balozi wa China aliyekuwa akivaa kofia za CCM, kama picha inavyoonesha hapo juu.
Unakumbuka kilichofuata baada hapo?
 
Hujui shughuli za kibalozi mbwiga wewe, ndio ukae ukijua jubilee wamemu endorse magufuli tena, mataga ni make Tz better again, sasa ww baki hapo ukiwaza mayai huku magufuli your pain in your ass is making progress.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Nadhani ni make Tanzania great again. [emoji1] Umechanganyikiwa kweli kweli wewe msukule wa lumumba. Kwahivyo balozi Kazungu ndio Jubilee na unafurahia endorsement ya wale ambao mnanuia kuwa 'pain in their ass', eti kwasababu mmemkabidhi balozi ilani ya chama? [emoji1] Hizi akili bila shaka lazima zitakuwa ni za kuazima.
 
Sasa kama mnafahamu hivyo mbona mnatumia nguvu nyingi kupambana naye, tuonaona kwenye video za Youtube mnamzuia asitumie kivuko, mara asitumie helkopta, mara mabomu ya polisi, mara mumzuie siku saba asifanye kampeni....yaani duh.
Halafu jamaa mwenyewe ni jasiri la kufa mtu, katia kambi Chato na kupokelewa na nyomi balaa....huyo atawasumbua sana kwa kweli.....mnalo
Amewapa kiwewe hawalali kabisa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hali ni ngumu sana kwa hawa wahuni wa maccm. Yamekabwa koo na Chadema hadi yameogopa na kuingia kiwewe! Eti yalidhani Chadema imekufa 😂😂😂😂

Lakini hivi kwa kweli Chadema mko tayari kwa ushindi? Nakumbuka wakati tuliishinda KANU enzi zile ilikua kama shtukiza fulani, nusra tuchanganyikiwe maana hatukua tumezoea.
 
Eti upekee, upi huo? Hivi ndio walimpokea rais Uhuru kule Kisumu, ngome ya mpinzani wake Raila. Tena hapo ilikuwa ni muda mfupi baada ya mvutano wa uchaguzi mkuu, ambapo Raila alijiapisha kama rais.
images
uhuru.jpg
Umezoea uhuni wa sisiemu na siasa za uadui mithili ya mbwa na paka. Ndio maana unapandwa na mahanjam kisa vitu vya kawaida ambavyo ni haki ya wagombea wote. Ila ukisikia kuhusu masuala nyeti kama tume huru ya uchaguzi na 'balanced coverage' ya wagombea wote kutoka kwa wanahabari unaanza kujitia hamnazo. Hizo ndio hoja muhimu za kupigia tarumbeta ya upekee.
Hahahaha sasa ni kwamba hautaki kwamba Kenya ni masterclass ya siasa za ukabila duniani au unacholalama ni nini? Sababu bado sijakuelewa 😊
 
Mimi mwenyewe nashangaa lengo lao la kumpa balozi Kazungu ilani ya chama ni lipi haswa. Au wamempa hadi na kadi ya CCM na ile ya kupigia kura pia? Maanake balozi wa Tz nchini Kenya hatumjui kwa jina, achia mbali sura. [emoji1] Hivi nchini Kenya kuna balozi wa nchi yeyote ile ambaye huwa anahusishwa na vyama vya kisiasa kwenye kampeni wakati wa uchaguzi? Nakumbuka kuna mmoja aliingia kichwa kichwa na kiherehere chake kwenye shughuli za uchaguzi mkuu wa 2013. Sijui alikuwa wa Ubelgiji, alifokewa kweli kweli na vyama vyote na akaelezwa kwamba asidhubutu kutia pua lake kwenye masuala ya ndani ya nchi ya Kenya.
Hahaha wataachaje kuthubutu kuingilia shughuli wanayoigharamia kwa asilimia 3000? Yaani mkawalilie shida hamjiwezi na ufukara wawape pesa za kuchaguana kikabila halafu hamtaki wafuatilie pesa zao zinatumikaje? Hivi mbona wakenya ni wapumbavu hivi? 🤣🤣🤣

Halafu tumempa mpaka muwakilishi wa trump ilani ya CCM, saivi yupo ukurasa wa 50 sababu ilani yetu imesheheni si haba, 😊

EkXDtKLXkAANcZE.jpeg

Halafu Tanzania SG wa CCM ana uwezo wa kuwaita na kukutana na balozi yeyote kwa wakati wowote anaotaka, ninyi Kenya kwenye hivyo vikundi vyenu vya kikabila kuna kiongozi wa Chama mbali na Rais au waziri mwenye uwezo wa kumuita balozi wa Taifa ofisini kwake? 🤣🤣🤣🤣

Jitafakari
 
Nadhani ni make Tanzania great again. [emoji1] Umechanganyikiwa kweli kweli wewe msukule wa lumumba. Kwahivyo balozi Kazungu ndio Jubilee na unafurahia endorsement ya wale ambao mnanuia kuwa 'pain in their ass', eti kwasababu mmemkabidhi balozi ilani ya chama? [emoji1] Hizi akili bila shaka lazima zitakuwa ni za kuazima.

Ofcoz magu is a pain in you guy's asses, don't pretend he ain't, au tuanze kutaja hizo pains. Nifurahie nn sasa, angeenda asingeenda, nuthn would change. Point yangu ni kwamba, balozi wenu hajaenda kwa matakwa yake, hakunaga hilo, na hilo hukuwa unajua, una jichekesha chekesha hapa, wakati ulikuwa unapinga. Bora akili zangu za kuazima kuliko zako za miraa

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna upinzani Tanzania wote hao ni team moja.

1206561_baloz.jpg

Huyo siyo balozi wa kwanza kuwa na CCM, tulikuwa na balozi wa China aliyekuwa akivaa kofia za CCM, kama picha inavyoonesha hapo ju
Lahaula lakwata!....huyu itakua ana mishe zake na CCM, lazima....huu ufisadi wa wazi kabisa.
 
Ccm ni kama mambwa koko mbona mkubwa wa Balozi wa Mabeberu aka Balozi wa USA juzi kaenda hawajampa ilani yao ya kufungia maandazi. Kaenda Balozi wa Kenya wamempa ilani ambayo anaenda tu kuitupa kwenye dust bin
Angalia post #29 halafu urudi kufuta post yako.
 
Mimi mwenyewe nashangaa lengo lao la kumpa balozi Kazungu ilani ya chama ni lipi haswa. Au wamempa hadi na kadi ya CCM na ile ya kupigia kura pia? Maanake balozi wa Tz nchini Kenya hatumjui kwa jina, achia mbali sura. [emoji1] Hivi nchini Kenya kuna balozi wa nchi yeyote ile ambaye huwa anahusishwa na vyama vya kisiasa kwenye kampeni wakati wa uchaguzi? Nakumbuka kuna mmoja aliingia kichwa kichwa na kiherehere chake kwenye shughuli za uchaguzi mkuu wa 2013. Sijui alikuwa wa Ubelgiji, alifokewa kweli kweli na vyama vyote na akaelezwa kwamba asidhubutu kutia pua lake kwenye masuala ya ndani ya nchi ya Kenya.

Hili hata mimi limenishangaza kidogo, kuna Balozi wa China kama sikosei alihudhuria mkutano wa kampeni miaka ya nyuma ilileta gumzo ambalo halikuiacha salama ajira yake.

Balozi hatakiwi kuwa na upande kama sikosei, hasa ikija mambo ya vyama vya siasa. Nawaza hata yule wa US alienda ofisi za Lumumba kutafuta kitu gani?
 
Unajua mfumo wa serikali ya China au umeona na wewe. Ujaze servers?
 
Hakuna nguvu inayotumika hayo ni maneno ya mkosaji ma losers ni wafa maji hawaishi kutapatapa, wanajaribu kutafuta vijisababu ili kuvuruga uchaguzi (kwa kuvunja sheria na taratibu) makusudi, (wakijua wazi hawawezi kushinda)
Sasa huyo mkenya anapoteza nini? Anakwambia huyo lisu ambae si chochote lakini anyimwa hadi kivuko
 
Anajua ukweli kuwa chadema hawawez shinda so alikua anaongea ukweli... Ungeujua muundo wa maisha ya watz na mfumo ulokuwepo ndio utajua Why kumtoa ccm ni ngumu Sana labda itokee wamemess Up sanaaa afu kitokee chama au wanachama wengme wa ccm wawe wapinzani vngnevyo hakuna upinzan utashnda tz. Ccm ni kama culture vle
Hivi unajielewa wewe aliyeambiwa hatashinda ni mbowe, je mbowe hajawahi shinda uchaguzi huko hai?
 
Back
Top Bottom