MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
Imba taarabu zote. Ushindi wa kishindo ni Chama Cha Mapinduzi. Tulianza na wenyeviti s/mtaa. Madiwani wote, wabunge wote, na Raisi ni Kijani.Sasa kama mnafahamu hivyo mbona mnatumia nguvu nyingi kupambana naye, tuonaona kwenye video za Youtube mnamzuia asitumie kivuko, mara asitumie helkopta, mara mabomu ya polisi, mara mumzuie siku saba asifanye kampeni....yaani duh.
Halafu jamaa mwenyewe ni jasiri la kufa mtu, katia kambi Chato na kupokelewa na nyomi balaa....huyo atawasumbua sana kwa kweli.....mnalo