kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Mimi nashangaa, wao kilichowafanya wanganganie kuja Kenya nini na wakati kwao kuna njaa[emoji23][emoji23]Nakuambia hile video imenichekesha sana. Kwanza venye watanzania wanakimbia wakipewa viboko[emoji23][emoji23]
Unaongea ujinga tu sion pointOoooo!!sai ndio mnajifanya wakarimu na wakati mkisikia wanajeshi wa ethiopia wamekaribia mpaka wa kenya huaga mnakata mauno kweli na kuliita jeshi letu dhaifu..
Basi mara na nyinyi mumeangukia pua, polisi wa tanzania walitoka nduki baada ya kurusha teargas mbili tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga huyo, jeshi lao la poilisi jana walikimbia baada ya kurusha teargas mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi nikwambie kitu ukiona comments ya mtu ni rahisi kumtambua pengine hajiekewi au hajitambui maana huenda anacomnent asichokijua yaani amekurupuka au anatumia hisia ku comment kwa sababu ya uchama kumbe comments yake ni bora kuipita kwa sababu hajielewi sindio kiongozi?Wakenya wanajitambua Rais wao hana PhD fake wala mkuu wao wamkoa ajapata zero...labda tulichowazdi sisi tuna Mungu wa Africa anaitwa Mbowe
Wanatamani sana tuapologize.Sijaona ni wapi ameapologize hapo.
Naona anaandaa mazingira ya reviewing terms zao za mipakani mapema, sisi tunawaangalia tu.Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.
LOL kasema katumwa na kenyatta sasa sijui katumwa kwa Shigela RC wa Tanga au nani? 😃😃Wanatamani sana tuapologize.
Wakenya ni wepesi kama unyoya wa njiwa, Shigela kaongea Kenyatta anamjibu within 24 hours😀😆😀 wakenya bana ishakuwa proved mara kibao hizi vita hawatuwezi
Hehe Tanzania sasa imebaki kama msichana aliyewachwaSijaona ni wapi ameapologize hapo.
Mbona sijaskia hiyo. In the meantime, border remain closed.LOL kasema katumwa na kenyatta sasa sijui katumwa kwa Shigela RC wa Tanga au nani? 😃😃
Mwambie Shigela anaishi Tanga
Mtakufa njaaMnajifurahisha, hyo ndio kazi yake..
Lkn mjue mpaka hautafunguliwa na madereva lazima wapimwe..
Uhuru keshafunga kazi kitambo, na nynyi mkitaka fungeni pia
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL hujasikia nini sasa?Mbona sijaskia hiyo. In the meantime, border remain closed.