Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wateja wapya wa juzi juzi, lakini Kenya imekua suply route yenu kubwa tokea zamani sana, Kuna vitu vyengine kule Ugaibuni hamngeuza bila kupitishia Kenya.. Hata hao Rwanda wenyewe licha ya kua na kampuni kubwa ya ndege, kuna mazao mengine kama chai hua wanayapitishia Kenya kabla ya chnganywe na bidhaa za Kenya ndo zisafirishwe pamoja.