citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
OverUchaguzi umeshaisha sasa tujikite kwenye kujenga uchumi wa nchi, baada ya miaka mitano tukutane tena hapa.
Uchaguzi umeisha sasa tuijenge nchi
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OverUchaguzi umeshaisha sasa tujikite kwenye kujenga uchumi wa nchi, baada ya miaka mitano tukutane tena hapa.
Uchaguzi umeisha sasa tuijenge nchi
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kuna vibaka wengi huko tweeter ila kwenye upigaji kura ni wachache, na ndio hutoa maneno machafu kwa kuwa midomo yao inatoa harufu chafu kama ya mamba.Kaangalie na comments kwa Hussein Bashe baada ya ku-tweet: "mitano tena kwa Magufuli".
Uzuri wanajua kula na vipofu endeleeni kujiliwaza.......imeshapita hioHawa watu ni "diplomats" na sio "makada" kama sisi tufanyavyo! Kila neno analo andika lina maana sana! Ni kwa mantiki hiyo kaweka bayana kwamba "ushiriki" wake usipewe tafsiri kuwa anakubaliana na hicho kilicho pelekea shughuli ya leo ikawepo. Bado machinery zao zinaendelea kuchimbua kujua nani alishiriki nini na wapi! Kuwa mpole usubirie matokeo kabla ya kuendekeza ushabiki wa kikada.
Hujaelewa kabisa. Na kwa thread yako hii umeonyesha uwezo wako ulivyo wa chini kuelewa mtiririko wa jambo hili na pia mahusiano ya nchi mbili hizi yakojeMkuu, nimeelewa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi mkuu, huHujaelewa kabisa. Na kwa thread yako hii umeonyesha uwezo wako ulivyo wa chini kuelewa mtiririko wa jambo hili na pia mahusiano ya nchi mbili hizi yakoje
Makonda asipoenda USA Lissu anakuwa Rais?Lazima diplomasia iendelee. Na uhusiano wa Marekani na Tanzania hakuujenga Magufuli. Hivo kwa lugha nyepesi mahisiano na Watanzania yataendelea lakini kina makonda bado hawapati visa na list itaingezeka soon
Ebu toa mawazo yako Tume huru ni ipi?Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
Lakini mkuu vyama vya siasa vipo vingi kwa maana hata CHADEMA wasiposhiriki vipo vitakavyoshiriki na baadaye itakuwa kazi bure na hivi Chama kimepoteza viti vingi na ushawishi umepungua itahitajika akili nyingi sana kukirudisha chama katika hali yake lakini si kwa njia za harakati bali mikakati, swali, je hao watu wa mikakati wapo?Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
Wakiwa CCM wanaitwa wastaafu au sio? Make hao wote unaowasema wamekulia CCM na wanastafia CCM. Akili za wana CCM bwana hata hazijitambui. Hawajui hata kama Lowasa yupo CCM kipindi hiki na kapiga kampeni. Yaani FISADI kashiriki kuisimika serikali madarakani......ukiandika kitu tumia kichwa badala ya sehemu zingine za viungo.CDM bwana mafisadi wakiwa kwao wanawabadilisha jina, anakuwa mbeba-maono (Mr PM Mstaafu), hiki chama kina watu wanaobadilika-badilika sana kuliko kasi ya mmeto wa indiketa. Nani atawaamini basi???
Mtu akiua mtoto wake majirani hawahudhurii msibani? Mbona maelezo yake yako wazi?Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025
===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea lakini nimehudhuria hafla ya leo Dodoma kutoa ishara kwamba uhusiano wa muda mrefu wa Marekani na Tanzania na watu wake hautetereki"
Hiyo ndiyo tofauti kubwa kabisa kati ya JPM na hao vipanga wenu wenye tamaa ya kushinda tu uchaguzi ili kukwepa wajibu wa kuwatumikia wananchi wao, bali kukwapua ruzuku na posho na kumtetea beberu na bepari. "Ndugu zangu, hata ndani ya Sisiemu, chama changu yamo majizi!" ~ Dkt. Magufuli. Huyu Mr Mzungu kama ingetokea ajali fulani kimuujiza akashinda (janga hili liepushiwe huko kuzimu!), ukweli mzuri, kamwe asingekaa akathubutu hata kuhoji matumizi ya zilee milioni zetu 300 kila mwezi.Wakiwa CCM wanaitwa wastaafu au sio? Make hao wote unaowasema wamekulia CCM na wanastafia CCM. Akili za wana CCM bwana hata hazijitambui. Hawajui hata kama Lowasa yupo CCM kipindi hiki na kapiga kampeni. Yaani FISADI kashiriki kuisimika serikali madarakani......ukiandika kitu tumia kichwa badala ya sehemu zingine za viungo.
Kwani wewe ndo umeshikilia account ya huyo unaejipambanua nae. Unajuaje kama yeye haiibi, unajua maisha yake binafsi. Acha wewe, watu wenyewe huwajui unahangaika kuwatetea bure. Wengine tulifanikiwa kuwa angalau kwa mbali na wadogo zao. Kila kiongozi is a monster on his side of the coin, so acha kutetea usichokijua...relax man and enjoy your life.Hiyo ndiyo tofauti kubwa kabisa kati ya JPM na hao vipanga wenu wenye tamaa ya kushinda tu uchaguzi ili kukwepa wajibu wa kuwatumikia wananchi wao, bali kukwapua ruzuku na posho na kumtetea beberu na bepari. "Ndugu zangu, hata ndani ya Sisiemu, chama changu yamo majizi!" ~ Dkt. Magufuli. Huyu Mr Mzungu kama ingetokea ajali fulani kimuujiza akashinda (janga hili liepushiwe huko kuzimu!), ukweli mzuri, kamwe asingekaa akathubutu hata kuhoji matumizi ya zilee milioni zetu 300 kila mwezi.
He is a snakeWalifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025
===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea lakini nimehudhuria hafla ya leo Dodoma kutoa ishara kwamba uhusiano wa muda mrefu wa Marekani na Tanzania na watu wake hautetereki"
Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
[emoji16]Wasiokuwa na hoja zenye ukweli hupenda kuchandanya kiswahili na kiingereza ili waonekane ni wasomi wabobezi, wewe ni mmoja wapo.