johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #121
Vyama vya upinzani havina ofisi zenye hadhi ya kumkaribisha balozi wa Marekani!Leo sioni matusi ya ccm kuwa marekani au mabeberu wanaingilia uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyama vya upinzani havina ofisi zenye hadhi ya kumkaribisha balozi wa Marekani!Leo sioni matusi ya ccm kuwa marekani au mabeberu wanaingilia uchaguzi
Na hizi mvua zimeletwa na awamu ya tano hapa mjiniHahaha kwani huko alikokwenda alilazimishwa?!
Kaona hakubaliki anatafuta pa kujificha?!
Mwambieni aende tu kule atahutubia kwa kiswahili hakuna zile ngeli ngumu ngumu za ... preaching na not reachable!
Wanaccm walio wengi hawajielewi.Leo sioni matusi ya ccm kuwa marekani au mabeberu wanaingilia uchaguzi
Hahaha tupande migomba jangwani na mkwajuni.
Are you a lone super power or a banana republic?!Old school and double standard.
Waziri Mkuu Majaliwa alienda Kwa balozi wa China na kupokea misaada ya kinga ya COVID-1. huyo ni mtu mdogo?
Banana Republic is Banana Republic full stop. You cannot compare on earth this Banana Republic and US of America! The lone Super Power.
Nimejisikia vibaya sana. Kuna kitu hakiko sawaHahah
Nileteeeeni gwajima
Nileteeeeeeeeeeeeni gwajima
Nileteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni gwajima.
Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.
Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa.
Source Watetezi tv
View attachment 1601057
View attachment 1601060
Maendeleo hayana vyama!
Leo sio beberu.Safi kabisa Balozi amemfuata Bashiru alipo, ila yule kibaraka yeye ataenda nyumbani kwa balozi.
Unaona tofauti sasa
Ngongo wacha fujo. Vipi mambo? Barabaara ya Moshi - Arusha ajali zimepungua sana siku hizi.Maendeleo ya Watu, si vitu haaaa haaaa
Wacha kukariri, mwenzio anapalilia kitumbua chake wewe unapiga miayo JF, aibu!Leo sio beberu.
Hahah daah hii.comment kiboko,Balozi atakuwa ameshangaa sn kuongea na mtu ambaye hajui tofauti kati ya R&L
Una laana wewe wallahi.Amemzidi nini Sasa? Ndio maana Magonjwa Mtambuka amelike😠