Duh...sijui umefika darasa la ngapi wewe...hiyo ni shida kwa hakika uelewa wa mambo na hata elimu yako...mtu unaweza ukawa huna elimu lakini ukawa na uelewa wa issues, busara na hekima...wewe umekosa vyote...hu
na elimu...huna uelewa wa mambo...huna busara...huna hekima....
Magufuli ni Rais wa nchi, ni Head of state...na commander in chief of the armed forces...Rais Magufuli hawezi kwenda kwa Balozi...ila Balozi ndiye inabidi aombe Kama anataka kumuona na apangiwe muda...Balozi ataomba aonane na mtu mwingine akitaka...na Sasa ameomba akutane na Dk. Bashiru na amempa muda wa kuongea naye...
Usimchukulie Rais kuwa sawa na Lissu wenu...wako tofauti kabisa...usimchukulie Magufuli kuwa sawa na Balozi wa nyumba kumi...
Kuandika hapa kuwa eti Magufuli anakimbia ni kielelezo Cha uwezo wako mdogo na wa chini kabisa kuhusu uelewa wa issues mbalimbali...